Mimi mgeni nahitaji msaada juu ya mahali hapa

belldone

New Member
Dec 1, 2018
3
0
Salaam.
Kama title inavyo onyesha juu hapo naitaji msaada wakutambua jinsi yakutumia JF, kuna baadh yavitu vinanishinda kama vifwaatavyo.
1-Kuweka picha profile
2-Kulply chat yamtu mwingne
3-Kutaka kuanzsha mada.
Ndugu mwanajf naitaji maelekezo iri nam niweze kujumuika nakujurishana mambo tofaut tofaut hapa.

Natabguriza shukran zangu kwenu.
 
Onyo tu upuuzi wa facebook usilete huku maana nimegundua hand writing zenu za kule!
 
Back
Top Bottom