Mimi mgeni hapa

nimejiunga leo, nikaribishe ndugu.


jesse.
2e1c030657357c6888776fd4feb24665.png

karibu mkuu
 
Huyu jamaa anatuchora tu sikuiz google translator inasababisha uzanie mtu kweli anajua lugha flani
Mkuu ulishawai fikiria kwanini wewe ni rahisi kuja Tanzania kujifunza kiswahili kuliko mimi kwenda Ufaransa nami kujifunza kifaransa hapo hiyo kozi hipo hata vituoni nisaidie kwa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom