jesse pinkmann
Member
- Sep 5, 2019
- 10
- 14
nimejiunga leo, nikaribishe ndugu.
jesse.
jesse.
ndiye mi nipo spain nalikuja tanzania nikafunza swahiliKaribu sana jesse huyo kwenye avatar ndio wewe tuanzie hapo kwanza
Aha ok ok nyie ndio makaburu hee😁😁😁😁😁 karibu sana dona county habari za Ufaransandiye mi nipo spain nalikuja tanzania nikafunza swahili
nimejiunga leo, nikaribishe ndugu.
jesse.
Jamii mtandao ya tanzaniaAha ok ok nyie ndio makaburu hee karibu sana dona county habari za Ufaransa
Niambie ni nini kilikuvutia hadi ukajiunga jf dare talk ?
Yo soy de EspañaKaribu sana mr Jesse pinkman, humu jf.
Wewe ni mzungu (a whiteman)??
Naam tutalajie ku share experience btn you & us kwa jamii yetu ili isonge mbele katika nyanja mbalimbali kama uchumi ,elimu , teknolojia, biashara na viwandaJamii mtandao ya tanzania
asante África es muy hermosaNaam tutalajie ku share experience btn you & us kwa jamii yetu ili isonge mbele katika nyanja mbalimbali kama uchumi ,elimu , teknolojia, biashara na viwanda
Vipi huko mkuu kwenu hakuna fursa hata ya kubeba maboxi maana bongoo nyoso kila siku afadhali ya janaasante África es muy hermosa
Yo soy de España
ndiyo nafika tanzania kwa mda wa mwaka huu napenda swahiliSawa, kumbe wewe ni Mu- espaniola, kutoka Spain??
Mkuu naomba kuuliza hivi capita city ya Ufaransa ni ipi nisaidie?Siku hizi foreigners si haba JF, tuna mchina, mfaransa na sasa mhispania
Mkuu ulishawai fikiria kwanini wewe ni rahisi kuja Tanzania kujifunza kiswahili kuliko mimi kwenda Ufaransa nami kujifunza kifaransa hapo hiyo kozi hipo hata vituoni nisaidie kwa hilindiyo nafika tanzania kwa mda wa mwaka huu napenda swahili
ndiyo nafika tanzania kwa mda wa mwaka huu napenda swahili