Mimi mdogo wenu / mtoto wenu nahitaji ushauri wa kisheria kwenye hili

Nilitegemea ungeonesha usomi wako kwa kusolve promptly problem kama hiyo; you seem to give up so easily. Sasa elimu yako itakusaidia kweli huko uendako? Hivi haitakuwa mwendo wa kuonewa tu maishani mwako? Nasema hivi, wakusanye hao ^war-who-knee^ wote ofisini wapeleke Oysterbay PS. This is completely unacceptable!
 
Dogo pambana wakupe line zako. Wasije wakazifanyia mawasiliano meusi ukakamatwa kuungwa kwenye tukio la ujambazi au mauaji.

Sioni sababu kwanini wakatae kusafirisha line tu. Kwani zina nini na umeshawalipa
 
Kama zina umuhimu usipotezee dogo, rudi polisi tena mdake jamaa. Ila safari hii usimwachie laini zako bora uzichukue utajua wewe jinsi ya kuzipeleka tena.

Hapo huenda jamaa kaamua tu kukufanyia mbaya kisa umempeleka polisi, ko na yeye anakuonesha umwamba.
 
Kama zina umuhimu usipotezee dogo, rudi polisi tena mdake jamaa. Ila safari hii usimwachie laini zako bora uzichukue utajua wewe jinsi ya kuzipeleka tena.

Hapo huenda jamaa kaamua tu kukufanyia mbaya kisa umempeleka polisi, ko na yeye anakuonesha umwamba.
nikahisi labda kwa sababu ya upole wangu ndio maana wananifanyia vile
SASA NAELEWA KWA NINI JPM ALIMSHAURI PROFESA MBARAWA AVUTE BANGE.
 
Alafu kingine nilichogundua ni kuwa ukienda kituoni na RB kwaajili ya kuchukua Askari wa kukusaidia, Askari tena hutaka kulipwa pesa ya ukamataji , na hiyo kumtoa Oysterbay naona kabisa atahitaji nimpatie pesa
Utalipwa gharama zako zote za usumbufuna huyo mtuhumiwa.
 
Rudi pale pale ureport kwamba hawakutekeleza. Kosa ulilofanya pia ni kuwaachia hizo line. Naona umesema pia unawapotezea wasahau. Sikushauri upotezee. Madhara ya kupotezea yanaweza kuwa makubwa zaidi kama watazitumia hizo line kufanya uhalifu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom