Spear
JF-Expert Member
- Jun 21, 2008
- 507
- 28
Nimeingia hapa uwanja wa ndege wa JKN naelekeo Moscow kwa kazi yangu lakini maalumu , nikaamua kutembelea maduka haya ya duty free .Nimeshangaa kila mhindi namgusa ni msemaji ama wa kihindi na kiingereza .Kuna kadada humo ndani nakuuliza kulikoni hapa na vipi usalama wa uwanja wetu na pia vipi Visa zao ? Anasema hawa wana siku chache tangia watoke India na Pakistani na wanaingia kinyemela na asubuhi wanaibukia hapa ndani kuuza kwenye duty free shops.
Jamani nauliza tena kwa sauti mnisaidie vipi Usalama wa Nchi ? Usalama wa uwanja ? Vipi hakuna Wadanganyika wanaweza kuuza maduka yale ? Nime enda kwenye coffee shop pale nimekuta maajabu jamaa wanasema kuna uchafu zaidi na wanaomba nirudi wakati mwingine nipate nyeti.Kwa sasa nawasilisha mniombee nangoja kuchukua mchuma punde tu .
Ni ukosefu wa nadharia kusema eti kumejaa wahindi kusema hivyo ni kupinga kauli na maelekezo ya serekali tuliyoiweka kwakura nyingi chini ya chaguo la mungu Mtakatifu Rais wa Tanzania amekuwa akipita kila nchi kutangazia taifa letu na kuwashauri wawekaji kufika hapa nchini kuwekeza hawa jaama wameitikia wito wa mheshimiwa Rais wamefika na kulisaidia taifa baada ya wito wake sasa nyinyi mnakuja na vigezo eti muhindi nchi itaenda vipi bila ya wawekezaji ??wacheni mambo ya fitina kama hampendi kinachofanywa na serekali iliyoteuliwa kwa asilimia karibu 98na wapenzi wananchi wake ni afadhali mkatafuta mahali mkaelemea tuwachieni Rais wetu na viongozi wake waboreteshe nchi kutupatia wananchi hali bora ya kimaisha na serekali yetu kwa tarifa yenu serekali hii itakuwepo hapa ulimwengumpaka pale utamalizika kwa hiyo basi mkitaka msitake la muhimu hapa unganeni na serekali tusonge mbele chaguo la mungu hakuna wakulipinga isipokuwa yeye mwenyewe Mmungu