Uchaguzi 2020 Mimi Leslie Oscar Mbena ninayejulikana pia kama Msemakweli Chakubanga, natangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Morogoro Mjini

Shukrani sana kiongozi,hakuna mwarabu wala muhindi atakae iletea Maendeleo Morogoro,Sisi wazawa wa Morogoro,watoto wa Morogoro ndio tutailetea Maendeleo Morogoro Mjini.
Hao unaowasema ndiyo wanaipaisha kiuchumi morogoro na miradi yao mashamba, biashara ya Usafiri n.k Miaka nenda rudi
Swali tu kwako wewe umefanya jambo gani ambalo mpaka Sasa watu wa hapo Moro wameliona?

Ova
 
Naomba niwaase watia nia wote, ahadi zenu nyingi, kama sio zote, zinategemea manufesto ya Chama someni ilani inasema nini, labda, baada ya ilani, wewe mtia nia useme, kwenye hili mimi ntaongezea haya,
 
Hizo sera kama ukizisema sehemu ya watu wenye akili timamu basi lazima upopolewe mawe
Mimi nimetaka kuangua kicheko. MTU mwenye elimu ya chuo kikuu eti anagombea kwa sababu ya imani yake kwa Rais Magufuli?
Huyu hajui hata wajibu wake utakuwa nini kama atakuwa mbunge, hajui kuwa Rais Magufuli (kama atabahatika kupita) ni kiongozi wa muhimili mwingine ambao kazi ya mbunge ni kwenda kumsimamia?

Hao ndio watu wa CCM, aina ya kina Steve Nyerere, Shilole na hata Afande sele.
 
Mkuu nimesoma neno kwa neno sera zako kwa kweli hazina mashiko! Kesho kaa chini urudie kusoma ulichokiandika,wewe mwenyewe utagundua hilo.
 
Hizo sera kila mbunge anazo lakini mbunge sio mtendaji wa jimbo,kwaio kusema utafanya wakat huna uhakika wa kupata fedha si kweli,labda ushawishi wawekezaji waje kuwekeza huko. Maendeleo mpaka serikali iamue kufanya
 
Back
Top Bottom