mimi kwa mapishi noma nina cheti cha VETA-pishi la kuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimi kwa mapishi noma nina cheti cha VETA-pishi la kuku

Discussion in 'JF Chef' started by Smile, Sep 12, 2012.

 1. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  NGOJA NIWAPE HILI...NILIPIKA JPILI.
  msinilaumu mimi napenda kuku bana .. so leo nitawafunza jinsi ya kuitengeza. ni rahisi sana na auhitaji kuwa mpishi mtaalam wa kupika na ni poa sana ukimuandalia hasaa umpendae au familia na marafiki kwa jumla.
  mahitaji
  KUKU MZIMA WA KIZUNGU
  TANGAWIZI MOJA KUBWA
  VITUNGUU VIWILI VIKUBWA NYEUPE
  KITUNGUU SAUMU
  KARANGA - vijiko vitatu vyikubwa kile cha kulia ..teh usije weka cha kusevia ..loh!
  MAZIWA NUSU KIKOMBE
  NYANYA MBILI KUBWA
  YAI MOJA LILILO CHEMSHWA
  CHICKEN CUBE 1.
  GARAM MASALA KIJIKO KIMOJA KIDOGO
  MAFUTA YA MAJI YA KUPIKIA
  procedure
  kata kata vitunguu saumu, tangawizi, vititunguu maji na karanga, weka ndani ya kinu kisha twanga hadi utengeze thick paste na ziingiliane kuwa mchanganyiko mmoja

  weka mafuta nusu kikombe kwenye sufuria kisha injika motoni hadi ipate moto kiasi kisha weka mchanganyiko wako wa vitungu na koroga huku ukiongezea maziwa kidogo kidogo hadi iive na kuwa rangi kama golden brown

  chukua nyama yako ya kuku kisha weka ndani ya mkaango wako wa vitungu endelea kukoroga hadi nazo pia ziwe brown ya kungaa ngaa
  baada ya hapo weka nyanya, garam masala, chicken cube, na chumvi kisha endelea kukoroga hadi mix ikauke kabisa na kuwa nzitoo!!
  ongezea maji ya moto vikombe viwili kisha punguza moto, funika wacha itokote pole pole hadi nyama iive na kuwa laini. mchuzi wake pia utakuwa ni mzito kweli
  baada ya chakula kuiva. kata kata yai laki slices nyembamba kisha kwenye bakuli unalopakulia kitoeo chako, changanyia humo humo kisha peleka mezani tayari kwa kula. inateremka poa ukila na chapati, ubweche- rice, ugali au mapotatoes..

  ukishindwa ni pm wekend tugonge vitu! uje na kuku wako tu wawili maana mi mmoja hanitoshi loh!
   
 2. Da Womanizer

  Da Womanizer JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: May 24, 2010
  Messages: 1,561
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimeku-pm
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Du hapo ukipiga mwaka m1 lazima umfikie Capt. John Komba.
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ur so sweet smile,damn!
   
 5. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  ..mkuu sisi wengine wabara kiswahiri kidogo not richable kama huwi specific : karanga zilizotwangwa au ? Kitunguu swaumu kimoja ina maana kizima au pingili moja ? je, tangawizi ya unga vipi inafaa na kipimo ?

   
 6. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #6
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  karanga ni zilizosagwa mkuu twanga kwenye kinu au blender
  na vitunguu swaumu ni kiasi tu kama vya pilau let say pingili kumi hivi za wastani
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 13, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,250
  Trophy Points: 280
  Experience yangu ni kuwa karanga zikipikwa muda mrefu zinaanza kushika kwenye sufuria na kuungulia (hata non stick pan). Labda kwa vile mafuta ya kupikia ni mengi sana (nusu kikombe sio mchezo)

  Kweli umefuzu. Asante kwa kuniamsha usingizini manake garram masala huwa natumia kwenye beef tu! Na mix ya karanga na madhiwa sijawahi kufanya, nitajaribu.
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  au kama le mutuz[​IMG]
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  nimeedit kuna mahali nilikosea ...ili vitu visiungue ndo maana unatakiwa uweke maziwa kidogokidogo my dear ...kama unavopikaga pilau unavolainisha vitunguu na maji same same
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mimi swiit au kuku?
   
 11. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #11
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na ingredients zote lakn mafuta nusu kikombe?? hapana.hiyo nitaiondoa kabisa. Mazoezi nayo magumu jamanii.
   
 12. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #12
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  hadi kuku aive mchezo?
  cause humchemshi dear ila waweza punguza pia ila sio mengi mbona?
   
 13. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #13
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kuku anaitwa smile nowdays,i didnt know that lol
   
 14. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #14
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lakn kuku wa kisasa huwa sio wagumu....
  Na unasema mafuta nusu kikombe sio mengi ati?ur kidding. Au wewe ndo miili dizaini haina shukrani..Hata ukinywa debe la mafuta unakuwa fresh tu??!!!!
   
 15. Lilian Masilago

  Lilian Masilago Verified User

  #15
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 246
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Name calling!!
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahaaa mwili wangu unashukrani balaa ,vikombe vyenyewe vya kichina hivi havina ujazo sahihi mimi nachotumia naona ni sawa ni hivi vidogo bwana
   
 17. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  gotcha madam
   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaa ushapika?
   
 19. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  you taught me a good reason yesterday,and the good thing kuku is my favourite food!!jus waiting saturday ifike ni practice
   
 20. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  sio good reason bwana ni lesson ...au nije tupike wote? umoja ni nguvu si unajua/ teh
   
Loading...