Mimi kama mdau wa utalii nina ombi Kwa TANAPA

Absolutely, jamaa analalama kila kitu, mie nimeenda mbugani mara 1000 Sijui hata hayo mabanda yako wapi!

Na, why wanayaita mabanda? Kwa sababu Kuku wanaweza pia kuhifadhiwa huko, Ac ya nini?
Hizo hapo nimekuwekea picha Coz naona hauzijui

images.jpeg-1.jpg

images.jpeg.jpg
 
Hey cost defines quality “idiot” wame target wanafunzi, sogea hapo pembeni angalia office zao, hata vyoo vya public, they are so clean, wakiongeza tu kiwango wewe huwezi lipa!

Weka bei umelipa bei gani? Mbona huwezi!

Elf 80 par night Kwa watu 2
 
Bosi very cheap Kwa kipato chako au very cheap Kwa kitu gani?

Cheap ni mahusiano ya huduma, market value, principle za uchumi - Sio kipato, cheap in general interms of value!

Hivi unajua kuweka tu hema porini kwa siku Kwa Mzungu ni $34 - Serengeti, that means about Tsh 70,000! Jaribu kuoanisha!

Maskini kabisa ambaye cannot afford guest ya 10,000 hawezi tegemea kulipa Beach accommodation 4 star kwa 25,000/-
 
Hoja yako ni kuwa room ya elf 40 haitakiwi kuwa na Feni au Air conditions?

Au Kwa vile nimelipa elf 40 par person means hata shuka nikikuta zinamatope nikae kimya?
 
Back
Top Bottom