Mimi kabla sijany'ongwa nakunyonga wewe - Balozi Kagasheki

- Maneno mazito sana hayo, yanaonyesha the man is serious, ndio tunachotaka sio kwenda huko kwenye wizara kuuuza meno na kucheka cheka, lazima wafanyakazi wajue sasa kazi, saafi sana mleta mada UBARIKIWE TU!

William.
Kwanini atumie lugha Kali namna hiyo hata jk alivyokuwa anaingia madarakani kwenye semina elekezi ya ngurudoto alisema Maneno makali hivyo lakini matokeo yake tumeyaona hamna kitu kabisaa!!!!!!!!!!!!!
 
- Maneno mazito sana hayo, yanaonyesha the man is serious, ndio tunachotaka sio kwenda huko kwenye wizara kuuuza meno na kucheka cheka, lazima wafanyakazi wajue sasa kazi, saafi sana mleta mada UBARIKIWE TU!

William.

William,katika serikali hii nani anaongoza kwa kuchekacheka?? una gats bin balls za kumwambia???

cheka basi, hahahahaha @DSM CITY!!
 
Akiwa anakabidhiwa ofis ndani ya wizara ya mali asil na utalii,kagashek amewaambia watendaj wa wizara hiyo kuwa atawanyonga wale watakaoiteteresha wizara,,,,,
nadhan anamaanisha atawawajibisha.
Sos,clouds habar

Niliisikia hiyo sikuielewa..
 
Mkuu, kwa ninavyoifahamu ccm na unafiki wao, hii kauli itapongezwa sana na iatonekana jamaa yupo serious. Kumbe ni unafiki mtupu na kama ingetolewa na cdm, basi wangeandamana ccm kuilaani. Hakuna aliye serious ccm. Wote ni wanafiki! Wasikilize wabunge wao. Kwanza wanaanza kwa kuunga mkono hoja kwa asilimia zote halafu yanafuata malalamiko na kulialia! Hipocrite!
Filipo are you serious? Utafananisha hio kauli ya hapo juu na aliyotoa Nassari? acheni mzaha bana!
 
Last edited by a moderator:
siikumbuki tarehe kwa haraka, ila huyu hana jipya, mwaka 2010 alikwenda Tarime kama naibu waziri wa mambo ya ndani alipofika huko alifuatilia suala la kuvuja kwa maji yaliyosababisha madhara kwa wanajamii wanaozunguka eneo hilo. Alidanganywa na watu wa Barick kwa kuoneshwa eneo lisilo husika, msamaria mmoja akamweleza ukweli na kumwelekeza. Baada ya hapo alionekana akifoka na kusema ikiwa mnanidanganya mimi mteule wa Rais je hawa wengine mtawafanyaje... Ila mtaona kama mimi si Kagasheki mtajua (maneno paraphrased). Baada ya hapo alirudi bungeni, tulisubiri tuone nguvu yake, hadi leo hii ni hadithi za alfu lela ulela, karambishwa kajaza mdomo hawezi tena kubweka. Huko aliko kwa kauli hiyo sisi tunaowafuatilia kwa karibu tunajua ni hadithi hakuna jipya,,, asiyeamini tupinge...
 
Kagasheki ni kama mbwa koko asiye na meno,jk na riz wamemuweka ktk idara iyo nyeti waarabu waemdelee kufaidi..2015 ndo mwisho wa matumbo yao
 
- Maneno mazito sana hayo, yanaonyesha the man is serious, ndio tunachotaka sio kwenda huko kwenye wizara kuuuza meno na kucheka cheka, lazima wafanyakazi wajue sasa kazi, saafi sana mleta mada UBARIKIWE TU!

William.

Wewe Willy Wewe,
kuna watu walikuja na spidi za mvua za kutengeneza hapa dili zilipogoma wakahamia Richmond itakuwa Kaga????
Hao jamaa walianza kwa mikwara kiasi kwamba mwanzoni kila mtu alihisi wapo kila pahala kumbe ni style ya kijizi jizi.
 
Kagasheki hana jipya hapo, amekuwa wizara ya mambo ya ndani ameweza nini zaidi ya kutetea uozo na majibu ya mkato mkato bugeni? Angalia maisha na maslahi ya mapolisi wetu na vitengo vingine kuna nini? Hataweza kitu maana idara na maeneo mengi ya utalii yana mkono wa wenzie.
 
Hata Kikwete alikuja na motto ya Khali Mpya, Nguvu Mpya. Tutadhani ni nguvu mpya ya kutuletea maendeleo kumbe nguvu mpya ya kuitafuna nchi. Hawa wote ni walewale hakuna jipya
 
huyo ishomire maneno mengi sidhani kama analo jipya kwa mfumo wetu huu ulivyo. atakapotambua kwamba wazito ndo wana miradi yau huko mbugani ndipo atakwama. asidhani tembo na twiga wanapakizwa kwenye ndege kuelekea pakistan kwa bahati mbaya. ni mahesabu makali, na ndipo atagundua hata kina maige walikua ni vibaraka tu ktk dili kama hizi. haka kanchi kameshauzwa, wanilipe changu nisepe.
 
Mkuu, kwa ninavyoifahamu ccm na unafiki wao, hii kauli itapongezwa sana na iatonekana jamaa yupo serious. Kumbe ni unafiki mtupu na kama ingetolewa na cdm, basi wangeandamana ccm kuilaani. Hakuna aliye serious ccm. Wote ni wanafiki! Wasikilize wabunge wao. Kwanza wanaanza kwa kuunga mkono hoja kwa asilimia zote halafu yanafuata malalamiko na kulialia! Hipocrite!
Filipo. Huo ni mkwara wa Kagasheki kuvuta pesa. CCM ingekua makini huyu jamaa hasingepitishwa kugombea ubunge,hafai kabisa. Anayebisha atafute aliondoka WIPO kule Geneva Uswizi kwa skandali gani! Ni aibu eti leo ni waziri mwandamizi ktk nchi yetu. Hiki chama ni chaka la wezi!
 
Hamna kitu hawezi milele kama akiweza ajiuzulu kwa kupinga hoja fulani, Maige ameshindwa kukanusha au kutoa ufafanuzi kuhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi? Je, huyu Kaga ataweza kutueleza/kutufafanulia

alishindwa kutoa ufafanuzi kwa sababu na yeye pia amekula hela hapo..its that simple really!!
 
Kauli kama hizo tumezisikia mara nyingi sana, na hazina maana..ukweli ni kuwa kauli ni jambo moja na kuchukua hatua thabiti kuwakabili wezi wa hii nchi ni hatua nyingine ngumu sana kuchukuliwa hasa na watawala wa CHAMA CHA MAJAMBAZI aka CCM.

Mheshimiwa Kagasheki nampa ushauri wa bure kuwa " shina likiwa takatifu na matawi pia yatakuwa matakatifu" Tatizo kubwa la wizara hiyo wengi wanaingia wakizungumzia kuisafisha wizara na wanaishia kusafishwa wao. Ipo nguvu kubwa ya mafisadi ambao ndio wanaoendesha wizara hii wengi wakiwa ni wanaoitwa wahisani, wenye vitalu na watu walio karibu na watawala wa nchi hii.Wizara ilipata kuwa na wakurugenzi wazuri sana kama Prof. Iddi Said lakini aliamua kukimbia na kurudi kufundisha SUA baada ya kushindwa kutekeleza matakwa ya watawala mafisadi. Muulize Saleh Pamba na makatibu wakuu waliopita upate experience. Watumishi wa wizara hii kama ni mafisadi au watakuwa mafisadi wametengenezwa na vi memo vya watawala acheni vimemo vyenu fuata sheria na kanuni hutanyongwa wala hutanyonga mtu. Nakutakia kazi njema.
 
Hamna kitu hawezi milele kama akiweza ajiuzulu kwa kupinga hoja fulani, Maige ameshindwa kukanusha au kutoa ufafanuzi kuhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi? Je, huyu Kaga ataweza kutueleza/kutufafanulia

Mkuu unacho sahau ni kwamba, Mh. Kagasheki na Mh.Maige ni watu wawili tofauti kabisa i.e they have nothing in common - hizi tabia zetu waswahili za kuwaponda watu ambao hatuwajuhi vizuri hazipendezi hata kidogo; ulicho kuwa unatakiwa kufanya ni kumpa pongezi na kumtakia kila la kheri katika kazi yake ngumu. Mimi nilimsikiliza kwa umakini sana, alisema bahati nzuri anajua pa kuanzia kwa kuwa kuna repoti za tume teule na atahakikisha anazifanyia kazi the SOONEST.

Mwisho labda nikufahamishe kwamba Mh.Kagasheki siyo mtu mwenye njaa kifedha, au mtu limbukeni wa kutaka utajiri wa haraka haraka, hana shida ya namna hiyo; kwa hiyo kwake ni kuchapa kazi tu siyo kutafuta kujinufahisha.
 
Mheshimiwa Kagasheki nampa ushauri wa bure kuwa " shina likiwa takatifu na matawi pia yatakuwa matakatifu" Tatizo kubwa la wizara hiyo wengi wanaingia wakizungumzia kuisafisha wizara na wanaishia kusafishwa wao. Ipo nguvu kubwa ya mafisadi ambao ndio wanaoendesha wizara hii wengi wakiwa ni wanaoitwa wahisani, wenye vitalu na watu walio karibu na watawala wa nchi hii.Wizara ilipata kuwa na wakurugenzi wazuri sana kama Prof. Iddi Said lakini aliamua kukimbia na kurudi kufundisha SUA baada ya kushindwa kutekeleza matakwa ya watawala mafisadi. Muulize Saleh Pamba na makatibu wakuu waliopita upate experience. Watumishi wa wizara hii kama ni mafisadi au watakuwa mafisadi wametengenezwa na vi memo vya watawala acheni vimemo vyenu fuata sheria na kanuni hutanyongwa wala hutanyonga mtu. Nakutakia kazi njema.
Safi sana mkuu, mimi nakuomba ujaribu kuomba appointment naye au mpigie simu hili uweze kukutana naye na kumpa taharifa kamili ya kumsaidia ku-deal na mapapa hawa - najuwa wizara hiyo imekubuhu kwa ufisadi unaotisha, hiyo itamsadia Mh.Kagasheki kumu-confront yeyote anaye toa vi-memo vya kutaka kuiendesha wizara by remote controll - Mh. Kasibante akiona anawekewe spana kwenye kazi zake na uongozi wa juu, basi mimi nitamshauri abwage Manyanga aendeleze biashara zake na UBUNGE.
 
- Maneno mazito sana hayo, yanaonyesha the man is serious, ndio tunachotaka sio kwenda huko kwenye wizara kuuuza meno na kucheka cheka, lazima wafanyakazi wajue sasa kazi, saafi sana mleta mada UBARIKIWE TU!

William.

hakuna kitu hizo ndo zenu magamba na kauli za kisanii mfano kilimo kwanza etc, twahitaji vitendo sio nahau
 
Back
Top Bottom