Mimi kabla sijany'ongwa nakunyonga wewe - Balozi Kagasheki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi kabla sijany'ongwa nakunyonga wewe - Balozi Kagasheki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Bajabiri, May 10, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Akiwa anakabidhiwa ofis ndani ya wizara ya mali asil na utalii,kagashek amewaambia watendaj wa wizara hiyo kuwa atawanyonga wale watakaoiteteresha wizara,,,,,
  nadhan anamaanisha atawawajibisha.
  Sos,clouds habar
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,513
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Bajabiri kwa nini unadhani!!! Usimsahihishe yeye kasema atawanyanga afu wewe unajaribu kupindisha statement!!! Be strait acha mambo ya kudhani...Kagasheki anamaanisha!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,279
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Chechen tu...akishaonjeshwa atasahau kauli hiyo
   
 4. K

  Kidogo chetu JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,222
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  huyu ni muadfilifu na mchapakazi mahiri
   
 5. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 521
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  yetu matumain.Anaweza akaweza kazi.
   
 6. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,085
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  nimeipenda hii kauli ya waziri wa mali asili na utalii wakati akikabiziwa ofisi na waziri mstaafu Maige. Hii inaonesha kwamba huenda huyu jamaa amejipanga kukabiliana na viwavi.
   
 7. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,085
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  nimeipenda hii kauli ya waziri wa mali asili na utalii wakati akikabiziwa ofisi na waziri mstaafu Maige. Hii inaonesha kwamba huenda huyu jamaa amejipanga kukabiliana na viwavi.
  source tbc1
   
 8. m

  manucho JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hamna kitu hawezi milele kama akiweza ajiuzulu kwa kupinga hoja fulani, Maige ameshindwa kukanusha au kutoa ufafanuzi kuhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi? Je, huyu Kaga ataweza kutueleza/kutufafanulia
   
 9. k

  kabombe JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 10,975
  Likes Received: 5,214
  Trophy Points: 280
  Pale kuna walaji waliokubuhu
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Angeongea wa cdm angekuwa ameshahojiwa na polisi siku mbili, ccm wangekuwa wameshaandamana, vyombo vyao ya habari vingeirudiarudia na kukemea mara mia! Lakini kwa kuwa ni mwenzao, wanampongeza sana! Upuuzi mtupu!!!!!
   
 11. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 12,729
  Likes Received: 1,154
  Trophy Points: 280
  - Maneno mazito sana hayo, yanaonyesha the man is serious, ndio tunachotaka sio kwenda huko kwenye wizara kuuuza meno na kucheka cheka, lazima wafanyakazi wajue sasa kazi, saafi sana mleta mada UBARIKIWE TU!

  William.
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,144
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Kauli kama hizo tumezisikia mara nyingi sana, na hazina maana..ukweli ni kuwa kauli ni jambo moja na kuchukua hatua thabiti kuwakabili wezi wa hii nchi ni hatua nyingine ngumu sana kuchukuliwa hasa na watawala wa CHAMA CHA MAJAMBAZI aka CCM.
   
 13. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,322
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Si unaona! Lazima uisifu kwa kuwa imetolewa na magamba mwenzio. Kama ingekuwa imetolewa na Nassari!?
   
 14. k

  kiruavunjo Senior Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kabla hujaninyonga mimi nakunyonga wewe kagasheki na magamba yako.
   
 15. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Filipo are you serious? Utafananisha hio kauli ya hapo juu na aliyotoa Nassari? acheni mzaha bana!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 3,986
  Likes Received: 456
  Trophy Points: 180
  Asante kwa kusema yaliokuwa moyoni mwangu. Ila huwa siachi kusitikitika watu wanapokuwa wepesi/rahisi kununuliwa/kulaghiwa na vijikauli vyepesi vya hawa magamba.
   
 17. N

  Nteko Vano JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kama mzee na familia yake hawatatia mikono na miguu
   
 18. k

  kabombe JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 10,975
  Likes Received: 5,214
  Trophy Points: 280
  Wewe usiwe kama kingwendu..Nasari ameingiaje hapa?kama Nasari tafanya la kusifiwa atasifiwa tu
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,600
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  mnafki tusubiri tuone!
   
 20. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Ni kauli nzuri yenye maana nzuri ya mamlaka na uwajibikaji... lakini kauli ni kitu kimoja na vitendo ni kitu kingine... tumpe nafasi... tumpime... tuamue...akishindwa tumnyonge
   
Loading...