Mimi huyu mtangazaji simuelewi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,845
Ni mtangazaji wa itv.sembei yeye huwa anatangaza taarifa za habari kila weekend lakini tatizo lake ni hali yake ya kukosea kosea kila mara.ni mda mrefu anatangaza habari lakini anakua kama mgeni.au ana kigugumizi?mimi simuelewi kabisa.mia
 
Ni mtangazaji wa itv anayeitwa sembeye.yeye huwa anatangaza taarifa za habari kila weekend lakini tatizo lake ni hali yake ya kukosea kosea kila mara.ni mda mrefu anatangaza habari lakini anakua kama mgeni.au ana kigugumizi?mimi simuelewi kabisa.mia
 
ananiboa sana,hivi wakuu kupata mtangazaji wa radio au tv hawafanyi niterview????
hivi unamletaje mtu hawezi kusoma vizuri halafu unampa hiyo kazi
 
Jamani hayo ndio majungu sasa, kama anakuboa si utune tv engine, Nyie ndio wala ambao mnarudisha nyuma vipawa vya watu, Acha atangeze mwisho wa siku atakuwa vizuri, hata mbuyu ulianza kama Mchicha. Miladi si alikuwa hivyo hivyo pale Wapo Radio lkn sasa hv wapi? Ni kwamba hashiki yuko vyema. Ushauri kwenu ma mr/miss smart tuvumiliane tu kama wewe ni perfect hiyo ni wewe na familia yako. Niwatakie Jpili njema.
 
Kaeni kimya. Nadhani mwajiri wake anaridhika na utendaji wake. Na wala haitaji feedback kutoka kwenu.
 
Sio kwamba kuna mtu hakosei!Haiwezekani kla mara akosee yeye tu,kama bado hajaiva apewe kpnd radio one huko atapata uzoefu.Sio mazoezi kwenye Tv tena taarifa ya habari ya sa2 ambayo watu wapo makn kucklza alafu yye anaanza kuchapiachapia!Ili uwe angalau mkamilifu lazma ukosolewe,urekebishe makosa yako!Ni Mtazamo Tu.
 
Miaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hilo hata mimi nimeliona ,ila kama mkuu Chetu dume alivyosema tumpe muda kwana anaonyesha ana improve as tha dayz goes-by
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom