"mm na serikali yangu "Wakuu salaam.
Natumai mko vizuri,mkiendelea na majukumu mbalimbali.
Kama kichwa cha mada kinanyosema.
Hivi ni kweli mtu anayependa sana kutumia neno "mimi", katika mazungumzo yake, ni ishara ya kuwa ni mbinafsi?
Tafsiri neno "ubinafsi"
Kisha weka sifa za kuwa mtu mbinafsi then jiangalie hizo sifa unazo asilimia ngapi..
Hilo neno "Mimi" sidhani kama linatosha kuitwa mbinafsi maana ukilichunguza hata watu wanaojiamini hupenda kulitumia!
Mimi na SERIKALI YANGU. Serikali ni nini!?
Lakini inawezekana mtu kuwa na sifa zote, kujiamini na kuwa mbinafsi.Tafsiri neno "ubinafsi"
Kisha weka sifa za kuwa mtu mbinafsi then jiangalie hizo sifa unazo asilimia ngapi..
Hilo neno "Mimi" sidhani kama linatosha kuitwa mbinafsi maana ukilichunguza hata watu wanaojiamini hupenda kulitumia!
Formula nimeshakuandikia hapoLakini inawezekana mtu kuwa na sifa zote, kujiamini na kuwa mbinafsi.
Na ninauliza kama linaweza kuwa ni ishara ya ubinafsi maana ni kweli halitoshelezi, kwa mtu kuitwa mbinafsi moja kwa moja.
Nimekupata mkuu.Mtu mwenye u"Mimi" ni hatari sana mnafanya kitu pamoja yeye kauli zake ni mimi, mimi, mimi..bombo clat
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechimba zaidi umekuja na ndugu zake "Mimi".Neno mimi lina umimi (ubinafsi) ndani yake.
Ndugu zake ni maneno yangu, changu na wangu.
Serikali yangu
Mungu wangu
Rais wangu
Nchi yangu
Nadhani maneno mazuri ni sisi, yetu, chetu na zetu ni maneno mazuri zaidi yenye kuonyesha mashirikiano na masikilizano.