MIMI: Hivi ni kweli kupenda kutumia sana neno hili ni ishara ya ubinafsi?

Unajua bwana mimi.....
Mimi watu wananiogopa sana.....
Wewe mimi ni hatari sana.....
Mimi hapa watu wote wananifahamu....
Yaani tukiwa tunapiga tu story ukaanza kutumia hizo kauli, yaani hata sikusikilizi tena nabaki nakuitikia tu mh, mh
Hahahhahahah
 
100% iyo ni sifa ya kwanza ya mtu Narcissist .

Yaaan bila Mimi kuwasaidia wasingepita pale.

Daah yaan Bila Mimi mambo yangewagomea.

Mimi nilijua tu aisee ndomaana nkampa

Mimi nmekusaidia wee unadhan ungekua hapa ??

Hawa watu , shida yao ni moja, wanaweza kukufanya ujihisi mtu lkn wepesi wa hasira na ukimfanyia jambo lakuudhi, Aisee atakulipizia kitu ambacho ukiwa mwepesi kitakua kinakupa majonzi miaka yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kapuku tu uliyeaminishwa ni sehemu ya watu wanaowapa watu wengine nchi.
kwani wewe huwezi kumpa mtu nchi!!!!

sasa hiyo democrasia mnayoihubiri huko cdm,mbona hata huifahamu ni kitu gani!!!!
 
Sasa kama mtu yuko peke yake atasemaje? Mimi ni neno la kawaida sana,huwezi sema sisi wakati uko peke yako
 
100% iyo ni sifa ya kwanza ya mtu Narcissist .

Yaaan bila Mimi kuwasaidia wasingepita pale.

Daah yaan Bila Mimi mambo yangewagomea.

Mimi nilijua tu aisee ndomaana nkampa

Mimi nmekusaidia wee unadhan ungekua hapa ??

Hawa watu , shida yao ni moja, wanaweza kukufanya ujihisi mtu lkn wepesi wa hasira na ukimfanyia jambo lakuudhi, Aisee atakulipizia kitu ambacho ukiwa mwepesi kitakua kinakupa majonzi miaka yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran kwa ufafanuzi mzuri.
 
Kwa nini mkuu?
Kwa mfano watu wakiwa wamefanya jambo fulani kwa kushirikiana pamoja, kisha wakalifanikisha.

Kisha mmoja wao akasema, bila ya mimi msingefanikisha hili jambo.

Hata kama ni kweli mchango wake ulikuwa mkubwa, lakini wewe unamtafsiri vipi?
 
Haya maneno yanalea uzembe,upumbavu,ujinga na kutokuwajibika.

Lazima tujue maendeleo hayawezi kuja kwa kutegemea sisi,yetu,wetu ama vyetu.Hizi ni kauli mbiu za wajamaa ambao wamefeli.Kinadharia ni nzuri mno ila kiuhalisia ni aina fulani ya ku fake ili kubalance hisia za wajinga.

Mimi,yangu,changu,ni maneno yanayochochea ari ya ushindani.Kwa mtu anayetamani naye awe na kauli kama hizi,atatakiwa kuchagua kati ya kupambana amzidi mwenzie,ama achukie mafanikio yaliyompa mtu kusema "mimi"

Watanzania acheni kufanya uzembe mtu mmoja ahangaike kufikiri,kujinyima,na kujituma kisha kwenye mafanikio aseme sisi,yetu,chetu au vyetu.
Neno mimi lina umimi (ubinafsi) ndani yake.
Ndugu zake ni maneno yangu, changu na wangu.

Serikali yangu
Mungu wangu
Rais wangu
Nchi yangu

Nadhani maneno mazuri ni sisi, yetu, chetu na zetu ni maneno mazuri zaidi yenye kuonyesha mashirikiano na masikilizano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maneno yanalea uzembe,upumbavu,ujinga na kutokuwajibika.

Lazima tujue maendeleo hayawezi kuja kwa kutegemea sisi,yetu,wetu ama vyetu.Hizi ni kauli mbiu za wajamaa ambao wamefeli.Kinadharia ni nzuri mno ila kiuhalisia ni aina fulani ya ku fake ili kubalance hisia za wajinga.

Mimi,yangu,changu,ni maneno yanayochochea ari ya ushindani.Kwa mtu anayetamani naye awe na kauli kama hizi,atatakiwa kuchagua kati ya kupambana amzidi mwenzie,ama achukie mafanikio yaliyompa mtu kusema "mimi"

Watanzania acheni kufanya uzembe mtu mmoja ahangaike kufikiri,kujinyima,na kujituma kisha kwenye mafanikio aseme sisi,yetu,chetu au vyetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa tunaangalia matumizi mabaya ya mimi na si matumizi mabaya ya sisi.

Umechanganya mkuu.
 
Back
Top Bottom