MIMI: Hivi ni kweli kupenda kutumia sana neno hili ni ishara ya ubinafsi?

Hamdan

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
338
500
Wakuu salaam.

Natumai mko vizuri,mkiendelea na majukumu mbalimbali.

Kama kichwa cha mada kinanyosema.

Hivi ni kweli mtu anayependa sana kutumia neno "mimi", katika mazungumzo yake, ni ishara ya kuwa ni mbinafsi?
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,048
2,000
Tafsiri neno "ubinafsi"
Kisha weka sifa za kuwa mtu mbinafsi then jiangalie hizo sifa unazo asilimia ngapi..

Hilo neno "Mimi" sidhani kama linatosha kuitwa mbinafsi maana ukilichunguza hata watu wanaojiamini hupenda kulitumia!
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
7,194
2,000
Kupenda kutumia SANA au kila mara au mara nyingi
Tafsiri neno "ubinafsi"
Kisha weka sifa za kuwa mtu mbinafsi then jiangalie hizo sifa unazo asilimia ngapi..

Hilo neno "Mimi" sidhani kama linatosha kuitwa mbinafsi maana ukilichunguza hata watu wanaojiamini hupenda kulitumia!
 
Hamdan

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
338
500
Tafsiri neno "ubinafsi"
Kisha weka sifa za kuwa mtu mbinafsi then jiangalie hizo sifa unazo asilimia ngapi..

Hilo neno "Mimi" sidhani kama linatosha kuitwa mbinafsi maana ukilichunguza hata watu wanaojiamini hupenda kulitumia!
Lakini inawezekana mtu kuwa na sifa zote, kujiamini na kuwa mbinafsi.

Na ninauliza kama linaweza kuwa ni ishara ya ubinafsi maana ni kweli halitoshelezi, kwa mtu kuitwa mbinafsi moja kwa moja.
 
KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
16,048
2,000
Lakini inawezekana mtu kuwa na sifa zote, kujiamini na kuwa mbinafsi.

Na ninauliza kama linaweza kuwa ni ishara ya ubinafsi maana ni kweli halitoshelezi, kwa mtu kuitwa mbinafsi moja kwa moja.
Formula nimeshakuandikia hapo
Mkuu mi huwa napiga hadi nang'ata wanafunzi wasioelewa.
 
madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,675
2,000
Tena ni ubinafsi Mkubwa sana ndio hata Mungu mlezi anatumia Maneno
Sisi tumeumba mbingu na ardhi
Sisi tumemuumba mwanadamu
Sisi tunalitoa jua kutoka mshariki kwenda magharibi na mengine mengi wakati hua akiwa yeye mwenyewe peke yake ndio muumbaji yoote kufanya hivyo ni kuwatukuza malaika wake japo hawana mchango hata chembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,767
2,000
Neno mimi lina umimi (ubinafsi) ndani yake.
Ndugu zake ni maneno yangu, changu na wangu.

Serikali yangu
Mungu wangu
Rais wangu
Nchi yangu

Nadhani maneno mazuri ni sisi, yetu, chetu na zetu ni maneno mazuri zaidi yenye kuonyesha mashirikiano na masikilizano.
 
Umechimba zaidi umekuja na ndugu zake "Mimi".

Nilikuwa siwafahamu hawa kama ni ndugu.

Shukran sana.
 
DIVIDEND

JF-Expert Member
Jan 15, 2017
1,852
2,000
Unajua bwana mimi.....
Mimi watu wananiogopa sana.....
Wewe mimi ni hatari sana.....
Mimi hapa watu wote wananifahamu....
Yaani tukiwa tunapiga tu story ukaanza kutumia hizo kauli, yaani hata sikusikilizi tena nabaki nakuitikia tu mh, mh
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom