Mimi fundi wa kuchomelea vyuma welding fabrication uzoefu wa miaka 10 natfuta laz

Sayeda

Member
Dec 23, 2018
26
3
Natafuta kazi ya Uchomeleaji Welding fabrication nina uzoefu wa miaka 10 napendelea kwenye makampuni nina elimu ya darasa la saba na Cheri cha veta grade Two
 
Kwann usitafute vitendea kazi ufungue ofisi yako ujuzi unaokabisa tena Miaka 10 simamisha ofisi yako utafika Mbali tu ,
Natafuta kazi ya Uchomeleaji Welding fabrication nina uzoefu wa miaka 10 napendelea kwenye makampuni nina elimu ya darasa la saba na Cheri cha veta grade Two
 
Uko wapi ndugu? Je una vitendea kazi? Eg welding machine,angle(hand)Grinder,drill machine nk? If yes,na kama upo within my reach basi nicheki fasta nikupe kazi!! Serious!!
 
Nipo Ifakara mjini yaani kazi hakuna zipo chache sana, vifaa vyote unavyosema ninavyo nipe kazi naweza nikavipakia kuja navyo kufanya hiyo kazi itabidi nipate mawasiliano yako ndugu yangu
 
Mkuu ukipata eneo ukawa na ofisi yako ungetoboa fasta.....jitahidi upate vifaa mkuu
 
Nipo Ifakara mjini yaani kazi hakuna zipo chache sana, vifaa vyote unavyosema ninavyo nipe kazi naweza nikavipakia kuja navyo kufanya hiyo kazi itabidi nipate mawasiliano yako ndugu yangu
Nasubiri Captain Tamar nipige kazi
 
Natafuta kazi ya Uchomeleaji Welding fabrication nina uzoefu wa miaka 10 napendelea kwenye makampuni nina elimu ya darasa la saba na Cheri cha veta grade Two
Vifaa vyote vya kazi ya uchomeleaji ninavyo site nilipo hapa ni pagumu basi kama kuna sehemu naweza pata kazi nyingi au tenda za kazi naweza kuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom