Mimi bikra na ninatafuta mwenza

Bwana mkunaji

New Member
Jul 11, 2020
2
45
Habari zenu wana jamii.Mimi ni shababi niliyekamilika ingawa bado sijawahi kufanya tendo la ndoa. Nina miaka 25 sasa na nimeonelea kuliko kufanya zinaa na ngono za kiholela nitafute mchumba nimeweke ndani. Mimi ni mfanyibiashara na nina heshima kubwa kwa wanawake.

Nataka mwanamke wa kisasa ambaye hajapitwa na wakati ila awe ni mwenye kujiheshimu. Hivi sasa niko kenya na lau atokee mtu ambaye yuko interested basi tutafuta njia ni jinsi gani tutawasiliana.

Karibuni.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom