Mimba ya miezi mitatu kutoka damu. Kuna uwezekano mimba kuharibika?

Atahitaji kufanya kipimo cha speculum na ultrasound kuhakikisha

Inawezekana haijaharibika bado ila ipo katika hatari (Threatened abortion) atapewa dawa za kusaidia kutunza mimba isiharibikr

Inawezekana pia imeanza kuharibika na kuna baadhi ya products zimetoka (Incomplete abortion). Hio haina mjadala, haitaweza kusurvive na itabidi apate matibabu.

Inawezekana pia ujauzito umetunga nje ya kizazi.

Kwa kifupi nenda hospitali. Sisi humu JF hatuwezi kumfanyia hivyo vipimo

Essihno.
 
Back
Top Bottom