Mimba ya EPA yajifungua mtoto tutakayemlea hadi 2028! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba ya EPA yajifungua mtoto tutakayemlea hadi 2028!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Jan 13, 2011.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tukumbushane hapa kidogo:

  Hii tume ya kina IGP Mwema et al ilifikia wapi? Je, Kuna haja ya kuendelea kuunda tume za namna hii hapo mbeleni? Mtizamo wangu ni kwamba utawala uliopo umejenga utamaduni wa 'impunity' na hauna tija wala 'political will' katika kuendesha utawala bora.

  Kwa waanga wa maandamano ya Arusha, a motivation from Comrade Che: “I know you are here to kill me. Shoot, coward, you are only going to kill a man not his legacy.” Che Guavara


   
 2. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Dah! Habari hii imenichosha mpaka hata nguvu ya ku comment sina.........daaah!
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2011
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mkuu Saragosa, funga moyo na ku-comment
   
 4. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #4
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  We have a bunch of ****** sitting there. May the Lord Jesus help them do good decisions. Unless they are going to kill us all.
   
Loading...