Mimba uilee wewe, mtoto umbwagie mama yako! INAHUSUUU? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimba uilee wewe, mtoto umbwagie mama yako! INAHUSUUU?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KingPin, Aug 27, 2009.

 1. K

  KingPin Member

  #1
  Aug 27, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wahenga walisema, kulea mimba si kazi bali kazi ni kulea mtoto. Ni dhahiri kabla ya kuutoa msemo huo walizingatia mambo kadha wa kadha yanayoizunguka jamii nzima kulingana na hali halisi ya maisha ya binadamu na jinsi anavyotakiwa kuwajibika mbele ya familia yake husika.

  Ingawaje msemo huo ulilenga zaidi katika malezi ya mtoto, lakini haina maana kwamba wahenga hawakutambua kuwa kabla ya mtoto kuzaliwa ni lazima malezi ya mimba yawepo, na vile vile kuwa  http://mashosti.blogspot.com/2009_07_01_archive.html
   
Loading...