Mimba inatakiwa kufikisha miezi mingapi ndipo uende clinic

tyina

Member
Jul 11, 2017
94
28
Msaada ivi ukiwa mjamzito inabidi uanze kwenda clinic mimba ikiwa inamiezi mingapi?
 
kuna limtu limenitega pumbavu....limenasa, lilinikuta nafua akaja kwa bahati mbaya akaniomba kunisaidia nikakubali bali hadi kupiga deki na mengine huko huko....duuuuuuh!. kawa mke wangu naambiwa mimba na nmeletewa home tena wazee wa kanisa wameniletea. Mm hata sijui habari za clinic:D:D:D:D:D...nitakuwa msomaji nami niwe nasikilizia msala wangu home:p
 
Kwanini unachomekachomeka kiholela bila kondomu?? Haya kapime UKIMWI, kisonono, pangusa na kaswende!
 
Hongera mkuu.
 
Hongera kwa kubeba ujauzito.
 
Kwanini unachomekachomeka kiholela bila kondomu?? Haya kapime UKIMWI, kisonono, pangusa na kaswende!
hahaha, alikuwa mtu wangu tulivurugana kulikuwa hakuna mawasiliano ya simu basi ikawa hivo hahaha
 
Back
Top Bottom