Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 418
Habari za muda muda huu wanajamvi. Ni matumaini yangu kuwa mnajiandaa vema na maandalizi ya kuupokea mwaka.
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Naomba kwa mwenye ufahamu juu ya masuala ya uzazi. Kwa mwanamke ambaye mimba imetunga nje ya mji wa mimba ina uwezekano wa kuweza kusurvive mpaka kutimiza miezi 9 na hatimaye kujifungua?
Je kama haina uwezekano wa kusurvive inatakiwa afanye nini ili kuepuka madhara ambayo yanaweza kujitokeza?
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app