Mimba ikitoka, mwanamke akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu habari,

Nina swali, kama mwanamke alikua mjamzito, mimba ikatoka ikiwa hata haijafika miezi miwili, je kitaalamu mwanamke huyo akae muda gani ndipo abebe mimba nyingine?
 
Damu ikiacha kutoka mnaweza kuanza kujaribu tena
 
Ni Vizuri kujua sababu sababishi ili kutorudia makosa!

Kama Umejaza maji kwny ndoo yakavuja yote kabla hujafika nyumbani toka kisimani, busara ni kurudi haraka kisimani kuchota tena au kukagua ndoo kujua kwanini inavuja na kutafuta suluhu kabla ya kujaza tena?
 
Mke Wangu mimba yake ilitoka ikiwa na miezi sita yani alikua mtoto kabisa, tokea kipindi hicho hajafanikiwa kupata mimba ingine, hata mzunguko wake hauko sawa, tatizo linaweza kuwa nini mkuu?
Nenda kwa gynaecologist akasafishwe inaitwa DNC
 
1. Anatakiwa atibiwe apone mpk damu isitoke tena.

2. Mama anatakiwa apate muda wa kupumzika, apate chakula chenye virutubisho ili kurecover cells zilizokuwa damaged.

3. Kipindi hiki epukeni "rough sex" ikilazimu mfanye smooth sex!

4. Nashauri: Baada ya miezi 3-6 mnaweza kuamua mimba itungwe ila mjitahidi kwenda hosp mapema baada ya ujauzito kutungwa ili mama achunguzwe ikibidi apewe dawa za kuzuia mimba kutoka au kuvifunga viashiria vya kuharibu mimba!

Kila la kheri
 
Cshauri DNC kama mama yupo stable. System ya uzazi huwa ina natural way ya kujisafisha, DNC iwe ni last option as isipofanyika kwa umakini yaweza kudisturb mfumo wa uzazi

Gynaecologist atawashauri akiwaona
 
1. Anatakiwa atibiwe apone mpk damu isitoke tena.

2. Mama anatakiwa apate muda wa kupumzika, apate chakula chenye virutubisho ili kurecover cells zilizokuwa damaged.

3. Kipindi hiki epukeni "rough sex" ikilazimu mfanye smooth sex!

4. Nashauri: Baada ya miezi 3-6 mnaweza kuamua mimba itungwe ila mjitahidi kwenda hosp mapema baada ya ujauzito kutungwa ili mama achunguzwe ikibidi apewe dawa za kuzuia mimba kutoka au kuvifunga viashiria vya kuharibu mimba!

Kila la kheri
Mkuu, damu iliacha kutoka wiki mbili tu baada ya kusafishwa hospital.

Duuh miezi mitatu parefu kinoma but no way
 
Ni ushauri wa kitabibu, lengo ni kumuandaa mama ili mimba itapoingia mtoto apate mahali salama pa kukulia, pia ni kumsaidia mama awe na afya ya kustahimili ujauzito kuepuka kuharibu mimba.

Haraka haraka haina baraka!
 
Umeeleweka boss
 
Back
Top Bottom