Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

Habar wapendwa nlikuwa naomba kuelekezwa maana nashindwa kuelewa hipi sku ya hatar nabird tarehe4 ad trehe 4 tena nabird sku 5 sielew mzunguko wngu ni upi 28 au 29.
 
habar wapendwa nlikuwa naomba kuelekezwa maana nashindwa kuelewa hipi sku ya hatar nabird tarehe4 ad trehe 4 tena nabird sku 5 sielew mzunguko wngu ni upi 28 au 29
Ok kama unableed tarehe 4 kisha tena mpaka tarehe 4 .

Hesabu siku kumi na nne ukirudi nyuma kutokea tarehe unayohis ndio utableed

Alafu ile siku ya kumi nanne ndo ya atar.

Kwa mfano, kama saizi unategemea utableed tarehe 4 mwezi wa nne .hesabu kuanzia tarehe iyo 4, 3,2,1,------ tarehe ya siku ya 14 .ndio siku hatare ya mimba.

Alafu sio nibird .
 
Ety jaman samahan nina swali nilifanya mapemzi siku salma na ila bao la kwanza nahisi alimwaga ndani mengn tulitumia kondom nikawa nawasiwasi kupata mimba nimepima tyr baada ya siku 10 imeonesha sina mimba ety naweza pata mimba.
 
Kama ulifanya siku salama huna mimba
Ety jaman samahan nina swali nilifanya mapemzi siku salma na ila bao la kwanza nahisi alimwaga ndani mengn tulitumia kondom nikawa nawasiwasi kupata mimba nimepima tyr baada ya siku 10 imeonesha sina mimba ety naweza pata mimba
 
Asante na nmepima baada ya siku kumi na 12 imeonekana hamna mimba je nisubr au majibu yametoka sawa
 
Jaman Samahani nina cku ya kumi saiv tang nilikunywa p2 kuzuia io mimba na leo ni cku ya kumi kipo negative ety ni majibu sahihi au mes bdo nisubr mda
 
Sasa wewe, ulikunywa P2 kuzuia mimba.

Umepima ni negative.

Unachotaka hasa ni nini?
Hahahahahahahahahahaha nadhani amechanganyiwa na maudhi ya dawa ya P2.

P2 huwa inatabia ya kujisikia kichefuchefu, pia kama zimepita siku 10 tangu anywe hapo kuna uwezekano mkubwa akakutana na dalili zake za period.

Endapo kama alikunywa siku sahihi hiyo P2 awe mpole ataziona tu.
 
Mm natomba demu leo kesho Ana bleed ananambia najua ninachofanya na mm mtu mzima najua kucheza na siku zangu vizuri nikamtomba kama kawa na siku ya pili aka bleed kama kawa hahahahaha ukidet na mademu wenye akili raha
 
Back
Top Bottom