Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 633
zygote
Kwa hiyo zygote anauma?
zygote
Jaman naomba kuuliza na mke wangu nmekutana nae kushiliki tendo la ndoa na kumwagia ndan bao za mwisho mwsho sasa hivi anasumbuliwa na tumbo linamuuma chini ya kitovu kama week moja imepita baada ya kukutana nae kimwili ni dalili gan hyo ? Na siku zake anaingia week inayokuja tareh 9 hv...
haumiKwa hiyo zygote anauma?
hahahahahahahNatamani mwanamke wa kunizalia ntampa yote ahsssss
Ni ck sit falili za awali zinaanza kuonekan
Itakua huyo wa kwanza unless awe hana uwezo wa kupachika mimbaNaombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Punguza cheche bi mdashii mnawatunuku tu watu midume miwili kwenye cku za hatari?Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Asante sana Mkuu sasa kwa case yangu hapo ni siku Nane tu vip kuna ukweli amenimebambikiwa mkuu
Hiyo mimba magumashiMkuu Mimi nimekula mzigo July 21 akiwa yuko siku ya 19 ( kwa maelezo yake) ....tena siku hiyo kugegeda nikampa juice ya majivu ili incase alidanganya mimba isitunge...cha ajabu ndani ya siku 6 akaniambia Ana hamu ya udongo, Mara usingizi kila Mara...sasa juzi jumanne( zikiwa zimepita week 2) amepima yy mwenyewe kwa kutumia UTP na ameniambia ana mimba...sasa nafikiri nimpeleke hospital for re-check up ili nijue ukweli wa hiyo mimba...je Ina muda gani na ni yanguu?
Ushauri pliz
Ujue za kubambikwakwa nini kila mimba hutokea katika mazingira ya kutatanisha?
Itakuwa mimba ya wote wawili.Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Kwanini lakini iufanye hivo? We fanya na mmoja tu yaishie hapo, mtoto atapatikana tu.Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Inawezekana USS ikaonesha tareh au siku mimba iliyoingianiwaellyester1, u seem to be so worried, kama ipo itakuwepo tu, dont worry.
Kwa kwetu Tanzania, hatuko that much sophisticated interms of diagnostic facilities, vipimo tunavyotumia ni crude na vinachukua muda mrefu kupata matokeo. Kwetu kipimo tunachotumia cha UPT (urine for pregnancy test) kitakuwa positive siku ya 8 ( kama wiki moja hivi) mpaka ya 11 (roughly 2 weeks) baada ya missed period. Tunatumia pia USS (Ulatrasound), ambayo nayo itaona mimba (intradecidual gestation sac - kifuko cha mimba) wiki ya 4 mpaka ya tano ya ujauzito.
Kama uko Ulaya mimba yaweza kuwa diagnosed 5 days before the first missed period, yaani siku ya 9 since conception [tangu mimba kutunga na sio tangu kukosa siku zako-tofauti na UPT ambayo inakuwa positive siku 8 (roughly one week) baada ya kumiss period na sio baada ya conception, kwa sababu conception hutokea siku 14 kabla ya next menstruation] kabla hata hujakosa siku za mzunguko unaofuata, wanatumia vipimo kama ELISA na vingine.
Jaribu kurudia UPT on the 7th or 8th day since your first day of the last missed menses, na pia kama ni negative rudia siku ya 11, kama itakuwa negativu tena, TRY AGAIN next time you might succeed.