Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

Jaman naomba kuuliza na mke wangu nmekutana nae kushiliki tendo la ndoa na kumwagia ndan bao za mwisho mwsho sasa hivi anasumbuliwa na tumbo linamuuma chini ya kitovu kama week moja imepita baada ya kukutana nae kimwili ni dalili gan hyo ? Na siku zake anaingia week inayokuja tareh 9 hv...

Mpeleke shemela kwa daktari kaka huenda ni tatizo kubwa, linahitaji kushughulikiwa fasta..
 
Nyie msimdanganye. Kumwaga nje sio kwamba anaweza asishike mimba. Aweza kuwa alimwaga nje, then wakarudia round ingine, ama zilimwagikia jiran. sio salama kufanya mapenzi kwa njia hio. Nenda kanywe dawa ya kuzuia mimba zinauzwa pharmacy.
 
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
 
Itakua huyo wa kwanza unless awe hana uwezo wa kupachika mimba
 
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Punguza cheche bi mdashii mnawatunuku tu watu midume miwili kwenye cku za hatari?
 
Mkuu Mimi nimekula mzigo July 21 akiwa yuko siku ya 19 ( kwa maelezo yake) ....tena siku hiyo kugegeda nikampa juice ya majivu ili incase alidanganya mimba isitunge...cha ajabu ndani ya siku 6 akaniambia Ana hamu ya udongo, Mara usingizi kila Mara...sasa juzi jumanne( zikiwa zimepita week 2) amepima yy mwenyewe kwa kutumia UTP na ameniambia ana mimba...sasa nafikiri nimpeleke hospital for re-check up ili nijue ukweli wa hiyo mimba...je Ina muda gani na ni yanguu?

Ushauri pliz
Hiyo mimba magumashi
 
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Itakuwa mimba ya wote wawili.
 
Usikwepe majukumu leo mimba raha sana mwanaume asipokataa mimba inaleta ladha nzuri maana ukikataa ujauzito utamuweka kwy wkt mgumu huyo dada.

Zingatia huu ushauri
 
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Kwanini lakini iufanye hivo? We fanya na mmoja tu yaishie hapo, mtoto atapatikana tu.
 
niwaellyester1, u seem to be so worried, kama ipo itakuwepo tu, dont worry.

Kwa kwetu Tanzania, hatuko that much sophisticated interms of diagnostic facilities, vipimo tunavyotumia ni crude na vinachukua muda mrefu kupata matokeo. Kwetu kipimo tunachotumia cha UPT (urine for pregnancy test) kitakuwa positive siku ya 8 ( kama wiki moja hivi) mpaka ya 11 (roughly 2 weeks) baada ya missed period. Tunatumia pia USS (Ulatrasound), ambayo nayo itaona mimba (intradecidual gestation sac - kifuko cha mimba) wiki ya 4 mpaka ya tano ya ujauzito.

Kama uko Ulaya mimba yaweza kuwa diagnosed 5 days before the first missed period, yaani siku ya 9 since conception [tangu mimba kutunga na sio tangu kukosa siku zako-tofauti na UPT ambayo inakuwa positive siku 8 (roughly one week) baada ya kumiss period na sio baada ya conception, kwa sababu conception hutokea siku 14 kabla ya next menstruation] kabla hata hujakosa siku za mzunguko unaofuata, wanatumia vipimo kama ELISA na vingine.

Jaribu kurudia UPT on the 7th or 8th day since your first day of the last missed menses, na pia kama ni negative rudia siku ya 11, kama itakuwa negativu tena, TRY AGAIN next time you might succeed.
Inawezekana USS ikaonesha tareh au siku mimba iliyoingia
 
Back
Top Bottom