Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

Naomba wenye kujua jamaa mpeni gharama za.kupima DNA ili ajipange mapema kupima.
 
Mkuu Mimi nimekula mzigo July 21 akiwa yuko siku ya 19 (kwa maelezo yake) Tena siku hiyo kugegeda nikampa juice ya majivu ili incase alidanganya mimba isitunge. Cha ajabu ndani ya siku 6 akaniambia Ana hamu ya udongo, Mara usingizi kila Mara, sasa juzi jumanne (zikiwa zimepita week 2) amepima yy mwenyewe kwa kutumia UTP na ameniambia ana mimba. Sasa nafikiri nimpeleke hospital for re-check up ili nijue ukweli wa hiyo mimba. Je, ina muda gani na ni yangu?

Ushauri pliz
 
Habarini wakuu! Naomba kujua kutoka kwenu wataalam, hivi Yai la upande mmoja la mwanamke Kuuma ni moja ya dalili za kuwa na ujauzito? Natumai majibu ya busara na ya kitaakuma kutoka kwenu, Wasalam
 
Mpendwa, rekebisha kidogo uzi wako kwenye hilo *neno la nne* kutoka mwisho liwe *kitaaluma"

btw:wataalamu wanakuja kukujuza
 
Asanteni sana kwa uzi huu mzuri, mimi pia nina jambo la kuuliza, nilitakiwa kupata siku zangu tarehe 29 mwezi wa 12 Lakin mpaka sasa bado. Mwili unachoka, viungo vinauma, tumbo na kiuno vinauma pia , lakini nimeenda hospital nikakuta sina mimba, nimepiga hadi ultra sijaona kitu, tatizo litakuwa nini hasa? Maana hata nguo zinabana.
 
Dalili za awali za mwanamke kuwa mjamzito ni zipi?

Nahitaji kujua kutoka kwa wataalamu na wajuzi wa haya mambo.

No offence
 
Back
Top Bottom