Mimba huonekana baada ya siku ngapi?

Karimu123

Karimu123

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
229
Points
225
Karimu123

Karimu123

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
229 225
Wakuu Heshima yenu

Nina mpezi wangu ambaye siku za karibuni alinijulisha kuwa anaujazito wangu lakini umetokea kwenye mazingira ambayo siyaelewi kabisa.

Tulifanya mapenzi tarehe 23/7 alikuwa siku za hatari yani siku ya 12 mzunguko wake ni siku 28 nikamuomba tutumie kinga akagoma akasema yeye mwenyewe anajua hawezi pata mimba anajua anachofanya nikamwini basi tarehe 1/8 akanijulisha anaujazito wangu nikamwambia wewe uliniambiaje?

Nilichokuja kuuliza huku ni kuwa Mimba inachukua siku ngapi mpaka ionekane kwa vile vipimo vya kujipima mwenyewe nyumbani?

> Pia kwa siku hizo ni kweli zinaonyesha dalili kuwa mimba ni yangu au nimebambikiwa

NB: Naomba usinitukane nipe ushauri tu Asante.
 
mtakavyote

mtakavyote

Senior Member
Joined
May 21, 2015
Messages
139
Points
225
mtakavyote

mtakavyote

Senior Member
Joined May 21, 2015
139 225
kipimo cha kawaida kile kinaanza kuonyesha kuanzia siku ya 11 ya ujauzito lkn mwanamke akipitiliza siku 4-5 kutoka siku alotakiwa kuona siku zake bac mimba huanza kuhisiwa kwanza kabla ya matatizo mengn..
 
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Messages
8,571
Points
2,000
stephot

stephot

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2012
8,571 2,000
Hilo ndo kosa tunalofanya wengi,unamuuliza mwenzio kuwa mtumie kinga au la wakati mmeshafika kiwanjani!majibu ya hapo sio ya kuyaamini hata siku moja,hapo kila mtu anazungumza uongo ili lengo lake litimie na akili inarudi baada ya kumaliza.
 
Karimu123

Karimu123

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
229
Points
225
Karimu123

Karimu123

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
229 225
kipimo cha kawaida kile kinaanza kuonyesha kuanzia siku ya 11 ya ujauzito lkn mwanamke akipitiliza siku 4-5 kutoka siku alotakiwa kuona siku zake bac mimba huanza kuhisiwa kwanza kabla ya matatizo mengn..
Asante sana Mkuu sasa kwa case yangu hapo ni siku Nane tu vip kuna ukweli amenimebambikiwa mkuu
 
Officer2009

Officer2009

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Messages
558
Points
225
Officer2009

Officer2009

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2010
558 225
Asante sana Mkuu sasa kwa case yangu hapo ni siku Nane tu vip kuna ukweli amenimebambikiwa mkuu
Mkuu hapo kujua ukweli kua umebambikiwa au la kwa sasa hivi mi nafikiri ni vigumu sana, kwa hio mi nakushauri uvumilie tu hadi mtoto atakapozaliwa utajua tu aidhs kwa kumuangalia au kwa kupima dna.
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,426
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,426 2,000
Wakuu Heshima yenu

Nina mpezi wangu ambaye siku za karibuni alinijulisha kuwa anaujazito wangu lakini umetokea kwnye mazingira ambayo siyaelewi kabisa.

Tulifanya mapenzi tarehe 23/7 alikuwa siku za hatari yani siku ya 12 mzunguko wake ni siku 28 nikamuomba tutumie kinga akagoma akasema yeye mwenyewe anajua hawezi pata mimba anajua anachofanya nikamwini basi tarehe 1/8 akanijulisha anaujazito wangu nikamwambia wewe uliniambiaje?

Nilichokuja kuuliza huku ni kuwa Mimba inachukua siku ngapi mpaka ionekana kwa vile vipimo vya kujipima mwenyewe nyumbani?pia kwa siku hizo ni kweli zinaonyesha dalili kuwa mimba ni yangu au nimebambikiwa Asanteni

NB: Naomba usinitukane nipe ushauri tu Asante.
Pamoja na majibu mengi utakayopata la nyongeza ni kwamba in most cases siku ya kutunga mimba hua inajidhihiridha....kuna kuwa na hali tofauti kabisa katika kudo kwenu, ni hali ambayo huwa haielezeki, wenye uzoefu watakubaliana nami

Lingine ni kwamba msijaribu kuitoa hiyo mimba, kama ni yako utajua tu na kama sio yako pia utajua tu...cha kufanya mchukue mwende mahali mkae pekeyenu mpe anachohitaji kishapo muulize huku ukimwangalia moja kwa moja machoni '...una uhakika huo ujauzito ni wa kwangu...!? Uliza kwa sauti ya kawaida kabisa na usije kuendeleza maswali
 
E

EHK

Member
Joined
May 19, 2011
Messages
44
Points
95
E

EHK

Member
Joined May 19, 2011
44 95
option nyingine nenda maabara kapimeni.hapo utaambiwa mimba ina siku ngap then utalinganisha na siku mmefanya.ikiyumba hata siku moja hapo unadanganywa othrws huwa inaleta siku exactly.kama ikaleta siku ileile chance ya kuwa umebambikiwa ni kama mwanamke alitembea na watu wawili tofaut hyohyo siku moja.
 
Mr Ngoma

Mr Ngoma

Senior Member
Joined
Jul 22, 2008
Messages
141
Points
225
Mr Ngoma

Mr Ngoma

Senior Member
Joined Jul 22, 2008
141 225
Cjakuelewa kijana...huamini kuwa ana mimba au huamini kama mimba ni yakoo?

once unamwita mpenzi wako ina maana una mwamini 90% once (ume duu kavu kavu) so hutaweza kujua mtoto ni wako au la till azaliwe na muende pale nyuma ya ocean road hospital kuna ofisi za msema kweli.....but uwe jasiri kupokea majibu ya DNA

Wakuu Heshima yenu

Nina mpezi wangu ambaye siku za karibuni alinijulisha kuwa anaujazito wangu lakini umetokea kwnye mazingira ambayo siyaelewi kabisa.

Tulifanya mapenzi tarehe 23/7 alikuwa siku za hatari yani siku ya 12 mzunguko wake ni siku 28 nikamuomba tutumie kinga akagoma akasema yeye mwenyewe anajua hawezi pata mimba anajua anachofanya nikamwini basi tarehe 1/8 akanijulisha anaujazito wangu nikamwambia wewe uliniambiaje?

Nilichokuja kuuliza huku ni kuwa Mimba inachukua siku ngapi mpaka ionekana kwa vile vipimo vya kujipima mwenyewe nyumbani?pia kwa siku hizo ni kweli zinaonyesha dalili kuwa mimba ni yangu au nimebambikiwa Asanteni

NB: Naomba usinitukane nipe ushauri tu Asante.
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
699
Points
225
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
699 225
naomba wenye kujua jamaa mpeni gharama za.kupima DNA ili ajipange mapema kupima
 
Transcend

Transcend

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
19,067
Points
2,000
Transcend

Transcend

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
19,067 2,000
Mkuu Mimi nimekula mzigo July 21 akiwa yuko siku ya 19 ( kwa maelezo yake) ....tena siku hiyo kugegeda nikampa juice ya majivu ili incase alidanganya mimba isitunge...cha ajabu ndani ya siku 6 akaniambia Ana hamu ya udongo, Mara usingizi kila Mara...sasa juzi jumanne( zikiwa zimepita week 2) amepima yy mwenyewe kwa kutumia UTP na ameniambia ana mimba...sasa nafikiri nimpeleke hospital for re-check up ili nijue ukweli wa hiyo mimba...je Ina muda gani na ni yanguu?

Ushauri pliz
 
M

multmandalin

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2012
Messages
1,947
Points
1,225
M

multmandalin

JF-Expert Member
Joined Sep 8, 2012
1,947 1,225
Wakuu Heshima yenu

Nina mpezi wangu ambaye siku za karibuni alinijulisha kuwa anaujazito wangu lakini umetokea kwnye mazingira ambayo siyaelewi kabisa.

Tulifanya mapenzi tarehe 23/7 alikuwa siku za hatari yani siku ya 12 mzunguko wake ni siku 28 nikamuomba tutumie kinga akagoma akasema yeye mwenyewe anajua hawezi pata mimba anajua anachofanya nikamwini basi tarehe 1/8 akanijulisha anaujazito wangu nikamwambia wewe uliniambiaje?

Nilichokuja kuuliza huku ni kuwa Mimba inachukua siku ngapi mpaka ionekana kwa vile vipimo vya kujipima mwenyewe nyumbani?pia kwa siku hizo ni kweli zinaonyesha dalili kuwa mimba ni yangu au nimebambikiwa Asanteni

NB: Naomba usinitukane nipe ushauri tu Asante.
Mimba huonekana baada ya wiki tu!
 
N

Nahiya Hassan malick

New Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
1
Points
20
N

Nahiya Hassan malick

New Member
Joined Nov 2, 2017
1 20
Ni kupima tu hiyo mimba Ina muda Gan na jib utapata UOTE="Karimu123, post: 13535885, member: 314558"]Wakuu Heshima yenu

Nina mpezi wangu ambaye siku za karibuni alinijulisha kuwa anaujazito wangu lakini umetokea kwnye mazingira ambayo siyaelewi kabisa.

Tulifanya mapenzi tarehe 23/7 alikuwa siku za hatari yani siku ya 12 mzunguko wake ni siku 28 nikamuomba tutumie kinga akagoma akasema yeye mwenyewe anajua hawezi pata mimba anajua anachofanya nikamwini basi tarehe 1/8 akanijulisha anaujazito wangu nikamwambia wewe uliniambiaje?

Nilichokuja kuuliza huku ni kuwa Mimba inachukua siku ngapi mpaka ionekana kwa vile vipimo vya kujipima mwenyewe nyumbani?pia kwa siku hizo ni kweli zinaonyesha dalili kuwa mimba ni yangu au nimebambikiwa Asanteni

NB: Naomba usinitukane nipe ushauri tu Asante.
[/QUOTE]
Ni
 
Bigbon

Bigbon

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Messages
602
Points
1,000
Bigbon

Bigbon

JF-Expert Member
Joined May 21, 2016
602 1,000
Kuna kesi nimesikia eneo fulani.kuna kijana analalamika kuna binti amekutana nae kimwili siku moja pia wametumia kinga (kondoim)mwanzo mwisho ila baada ya wiki mbili anamwambia ana mimba yake.kijana hamini kilichomtokea. Je kuna ukweli wa mimba kuwa yake.
 
definition

definition

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
951
Points
1,000
definition

definition

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
951 1,000
Marekebisho kipimo ni UPT. Ili hormone ya HCG iweze onekanika kwa wingi kwenye mkojo ni lazima ujauzito uwe na zaidi ya sku 14 tokea sku ya hatari mlio fanya. Na tena kipimo chenyewe huonyesha weak postive sana. Chini ya hapo unaibiwa by rayvany.
Mkuu Mimi nimekula mzigo July 21 akiwa yuko siku ya 19 ( kwa maelezo yake) ....tena siku hiyo kugegeda nikampa juice ya majivu ili incase alidanganya mimba isitunge...cha ajabu ndani ya siku 6 akaniambia Ana hamu ya udongo, Mara usingizi kila Mara...sasa juzi jumanne( zikiwa zimepita week 2) amepima yy mwenyewe kwa kutumia UTP na ameniambia ana mimba...sasa nafikiri nimpeleke hospital for re-check up ili nijue ukweli wa hiyo mimba...je Ina muda gani na ni yanguu?

Ushauri pliz
 
Patricia waky

Patricia waky

New Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
1
Points
20
Patricia waky

Patricia waky

New Member
Joined Oct 29, 2018
1 20
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
 
kulangwa22

kulangwa22

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Messages
745
Points
1,000
kulangwa22

kulangwa22

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2015
745 1,000
Unaibiwaà rayvan siku 5 kapima nn kam ni mkojo amna kitu apo yamsela mwngn iyoo
 
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined
May 19, 2018
Messages
168
Points
250
Cvez

Cvez

Senior Member
Joined May 19, 2018
168 250
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Itakua huyo wa kwanza unless awe hana uwezo wa kupachika mimba
 
chlorine gas

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Messages
1,740
Points
2,000
chlorine gas

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined Jun 12, 2015
1,740 2,000
Naombeni kuuliza kwa mfano nmefanya mpenzi na wanaume Wa mwili kwa kipindi kimmoja cha mzunguko Wa siku hatari zimepishana siku mbili tu je mimba inakuwa ni ya nan mwaume Wa kwanza au pili?? Naombeni msaada
Punguza cheche bi mdashii mnawatunuku tu watu midume miwili kwenye cku za hatari?
 
Forum statistics

Threads 1,335,564
Members 512,388
Posts 32,509,588
Top