Million 142.96 Zatumika kutangaza Budget 2007/8

mwafrika hii topic ipo tayari somewhere.

Koba,

Kila nikiona ufisadi alert somewhere basi ninakuwa na kiherehere cha kuanika ufisadi hapa! Tuendelee nayo bado najaribu kuunganisha hii story na picha moja ya watoto wa shule ya mvinjeni wakiwa wamekaa chini kwenye vumbi wakisoma lakini mods wakiona kuna nyingine inafanana nayo basi wataihamisha.
 
Wanafunzi wa Mivinjeni, Picha na Haki-Hakingowi
 

Attachments

  • Mivinjeni.jpg
    Mivinjeni.jpg
    49 KB · Views: 63
Wanafunzi wa Mivinjeni, Picha na Haki-Hakingowi

Asante Mwanakijiji kwa picha hii,

Badala ya Lowasa kutumia mamilioni kutembea mikoani nakujikuta akiaibishwa na maswali toka kwa watoto wa shule ya msingi, angetumia pesa hizo kutengeneza madawati ili watoto wapate pa kukaa!

[media]http://www.jamboforums.com/attachment.php?attachmentid=1065&d=1201803816[/media]
 
where is our national priolity??

yaani siasa is every thing to them!

sijui kwakweli hii air uchumi inako tupeleka!
 
Back
Top Bottom