Kila nikiona ufisadi alert somewhere basi ninakuwa na kiherehere cha kuanika ufisadi hapa! Tuendelee nayo bado najaribu kuunganisha hii story na picha moja ya watoto wa shule ya mvinjeni wakiwa wamekaa chini kwenye vumbi wakisoma lakini mods wakiona kuna nyingine inafanana nayo basi wataihamisha.
Badala ya Lowasa kutumia mamilioni kutembea mikoani nakujikuta akiaibishwa na maswali toka kwa watoto wa shule ya msingi, angetumia pesa hizo kutengeneza madawati ili watoto wapate pa kukaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.