Millard Ayo unayumba sana

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Ulianza vizuri sana hadi ukakubalika na kufanya uwe na wafuasi wengi hasa kwenye mtandao wa You tube.

Kupata vijisenti ndo kumekufanya utoke njia kuu au unatumia imani yetu kwako kutudhulumu? Nimekuvumilia muda mrefu ila leo nimeamua kukuchana kwa lengo la kujenga tu na si vinginevyo.

Kwanza channel yako nayo imeingia kwenye ule upuuzi wa kuandika Title isiyoendana na habari husika, wakati mwingne hadi unaturn off comments, badilika.

Ulichoniudhi zaidi ni leo nimetoka zangu kwenye mizunguko yangu kufika home nkasema nijipumzishe niingie MillardAyo nimsikilize Mwamba alichohutubia taifa, hotuba imejaa mikasi mikasi tu, unaedit habari hadi znakosa uhalisia.

Habari km ina maudhui usiyotaka achana nayo maana utasababisha upotoshaji kwa mfuatliaji, usitulie mb zetu kwa kutulisha matango pori.

Badilika.
 
Wao warushe habari itakayowafanya wafungiwe wakose ugali hapo Kuna watu wanafamilia Kama wewe wanasomesha ati wakose ugali kisa kukisikilizisha wewe maudhui!
 
Usimpangie mtu cha kuandika au cha kupost,umelazimishwa kusoma? Mbona unakuwa na wivu wa kijinga? Fungua na wewe ya kwako upost unachokitaka,mtu mzima unakaa unalalamika kama litoto bhana, yaani mtu apost unachofurahia wewe,akipost tofauti na mtazamo wako unatoka na povu,hebu kua basi
 
Rudi shule ukasome uelimike kisa urudi kwenye uzi wangu usome uelewe kisha uchangie upya nafkir utatambua kwamba kuna vacuum kichwani mwako.
 
Ulianza vizuri sana hadi ukakubalika na kufanya uwe na wafuasi wengi hasa kwenye mtandao wa You tube.
Kupata vijisenti ndo kumekufanya utoke njia kuu au unatumia imani yetu kwako kutudhulumu? Nimekuvumilia muda mrefu ila leo nimeamua kukuchana kwa lengo la kujenga tu na si vinginevyo.
Kwanza channel yako nayo imeingia kwenye ule upuuzi wa kuandika Title isiyoendana na habari husika, wakati mwingne hadi unaturn off comments, badilika.
Ulichoniudhi zaidi ni leo nimetoka zangu kwenye mizunguko yangu kufika home nkasema nijipumzishe niingie MillardAyo nimsikilize Mwamba alichohutubia taifa, hotuba imejaa mikasi mikasi tu, unaedit habari hadi znakosa uhalisia. Habari km ina maudhui usiyotaka achana nayo maana utasababisha upotoshaji kwa mfuatliaji, usitulie mb zetu kwa kutulisha matango pori.
Badilika.

Mkuu, unajuwa kwamba unapofungua page yake na kusoma ama kusikiliza video, youtube n.k jamaa anaingiza hela!!! Tatizo la insta hata kama kitapostiwa kitu cha kijinga watacomment, hawajui kuwa jamaa wanaingiza hela.
 
Back
Top Bottom