Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,100
Unataka mwenzako aparamiwe na watoza ushuru, ofisi yake itiwe minyororo.... Ndo raha yaho.
DuuhYoutube wanasema kipato chake kwa mwezi kina range kuanzia, dola 2,600 hadi dola 41, 400..... ukichukulia katikati hapo ni kama dola 22,000 amabazo ni milioni almost 50 kwa tanzania, bila kodi
View attachment 547197
nini?Duuh
Youtube wanasema kipato chake kwa mwezi kina range kuanzia, dola 2,600 hadi dola 41, 400..... ukichukulia katikati hapo ni kama dola 22,000 amabazo ni milioni almost 50 kwa tanzania, bila kodi
View attachment 547197
kiba ni msani mwenye sauti nzuri ila ni mvivu hapendi kujitumaYupo vizuri
ila unamaanisha Harmonize kamchapa yule King Sijui Kiba!!
Mtoa mada umeharibu maisha yangu kabisa! Nimeandika barua yakuacha kazi haraka nije kufanya biashara kama ya Millard Ayo nipige mpunga,kumbe ni urongo?? Walahi nakuroga!
Narudi kijijini
Mkuu unaweza kufafanua kwa kina hii post nazan ndiyo post yenye umuhimu kuliko zote kwenye Uzi huu ,Na ndiyo maana nasisitiza, ukipata ka desk, ka computer, bundle, chumbani kwako tu, ukitumia akili na ujuzi wako waweza tengeneza pesa wakuu nzuri tu, swala ujuwe utafanya nini, kuajiriwa sawa, ila waweza kujiajiri kupitia internet tu..Vijana wachangamke kama mwenzao...
Tips:- Kutoka kwa wanaoshauri kama kweli...
Top ways to make money online and offline
- No-risk matched betting. Hands down the quickest way to make a lot of money (well, without breaking the law). ...
- Online surveys. ...
- Paid for searching the web. ...
- Online market trading. ...
- Start your own website. ...
- Review websites & apps for cash. ...
- The 'Disney Vault' secret. ...
- 'Get Paid To' sites.
Ntaweka ushauri kaka, ila kufanikiwani juu yako, jinsi utakavyotumia akili yako, resouces zako na bidiii:-Mkuu unaweza kufafanua kwa kina hii post nazan ndiyo post yenye umuhimu kuliko zote kwenye Uzi huu ,
Haha. Ataonekana wakati wa kuvishana Pete
Hizo ni estimates za SocialBlade na sio from Youtube! Social Blade ni wazuri sana kwenye public data kama vile Subs, Views n.k lakini linapokuja suala la earnings, majority of Youtubers hawawaamini Social Blade. Na hili wala halihitaji kuwa mtalaamu! Ni estimation gani yenye margin difference kubwa kiasi hicho>>> 2.6K to 41.4K !!!Youtube wanasema kipato chake kwa mwezi kina range kuanzia, dola 2,600 hadi dola 41, 400..... ukichukulia katikati hapo ni kama dola 22,000 amabazo ni milioni almost 50 kwa tanzania, bila kodi
View attachment 547197
Hamna cha operating cost wala nini!! Mwenye operating cost ni kwa mtu kama Millard Ayo lakini sio Harmonize ambazo video zake ni nyimbo zake ambazo, pawe na Youtube au pasiwe na Youtube lazima azigharamie!!!Tafakari pia operating costs, zinazopelekea hayo matangazo na watazamaji wake kuwepo, lazima kuna gharama hiyo pesa haijaja hivihivi tuu.
mkuu si wataalamu wanasema unalipwa dola 7.9 tangazo likiwa viewed mara 1000 na Youtube wanachukua 45% ya revenue? sasa jamaa kulingana na hao socialblade jamaa amepata views 10,000, 000+ kwa siku 30 zilizopita hapo ni dola 79,0000 assuming matangazo yameonekana kila mara video inapokuwa viewed,ila kwa kuwa sio kila mara tangazo linatokea tufanye ni dola 50,000, hapo Youtube wana chukua 45% ya $ 50,000 ambayo ni $ 22,500 wanamuachia $ 27,500 ambayo inaangukia kwenye range ile ile tu, au wamedanganya views?Hizo ni estimates za SocialBlade na sio from Youtube! Social Blade ni wazuri sana kwenye public data kama vile Subs, Views n.k lakini linapokuja suala la earnings, majority of Youtubers hawawaamini Social Blade. Na hili wala halihitaji kuwa mtalaamu! Ni estimation gani yenye margin difference kubwa kiasi hicho>>> 2.6K to 41.4K !!!
mkuu si umesema unalipwa dola 7.9 tangazo likiwa viewed mara 1000 na Youtube wanachukua 45% ya revenue? sasa jamaa kulingana na hao socialblade jamaa amepata views 10,000, 000+ kwa siku 30 zilizopita hapo ni dola 79,0000 assuming matangazo yameonekana kila mara video inapokuwa viewed, ila kwa kuwa sio kila mara tangazo linatokea tufanye ni dola 50,000, hapo Youtube wana chukua 45% ya $ 50,000 ambayo ni $ 22,500 wanamuachia $ 27,500 ambayo inaangukia kwenye range ile ile tuNajua ulipoitoa na hao watu pia wao hawajagusa kuhusu ad views wao wanaangalia tu watu wa ngapi wameona video fulani. tukumbuke kuwa video nyingi za millardi hazina matangazo mwanzoni