Millard Ayo, mtangazaji tajiri zaidi Tanzania, analipwa Mil 50-80/month na Youtube

Milliard anaweza kumuajiri ...trolljf awe anamfulia kufuli zake n'a kwa Siku akampa zaidi ya buku 20000/

Ova
 
mkuu si wataalamu wanasema unalipwa dola 7.9 tangazo likiwa viewed mara 1000 na Youtube wanachukua 45% ya revenue? sasa jamaa kulingana na hao socialblade jamaa amepata views 10,000, 000+ kwa siku 30 zilizopita hapo ni dola 79,0000 assuming matangazo yameonekana kila mara video inapokuwa viewed,ila kwa kuwa sio kila mara tangazo linatokea tufanye ni dola 50,000, hapo Youtube wana chukua 45% ya $ 50,000 ambayo ni $ 22,500 wanamuachia $ 27,500 ambayo inaangukia kwenye range ile ile tu, au wamedanganya views?
Uhalisia wake ni very tricky na kwahiyo sio sahihi ku-conclude kwamba wanalipa $7.9 per 1000 Views!!!

Jambo la kwanza kufahamu ni kwamba kuna aina 3 ya matangazo/Google Adsense zinazoweza kuchaguliwa na Advertizer. Ni aina ya tangazo, thamani yake na sometimes location. Thamani ya tangazo inatokana na kiasi ambacho Advertizer ame-bid...

Aina ya kwanza ni Cost Per Views, au CPV. Aina hii ni pale tangazo linapokuwa viewed at least for 30 seconds (or Viewer ana-interact na tangazo husika hata kama in 5th second). Now, wewe chinchilla coat as Advertiser unaweza ku-place bid Google kwamba utalipa tangazo lako kwa $1/View.

Pamoja na mambo mengine, ikiwa tangazo husika litatokea kwa Millard Ayo na Viewer akaliangalia for at least 30 seconds (au aka-interact nalo kabla ya hizo 30 seconds), hapo wewe, as Advertizer utakuwa debited $1 na 32% (sidhani kama ni 45%) itaenda Google na kinachobaki kinaenda kwa Ayo as Publisher.

REMEMBER, haya matangazo yana SKIP option zinazomwezesha Viewer ku-skip tangazo kabla ya hizo 30 seconds na bila ku-interact nalo! Which means, hapo Publisher/Ayo hatapata kitu!!!

Aina ya pili ndo hiyo Cost Per Mille maarufu kama Cost Per Impression au Cost Per 1000 Views. Hii nayo inategemeana na thamani ya tangazo kama ambavyo Advertiser alivyo-bid. Inaweza kuwa hiyo $7.9 or zaidi ya hiyo $7.9 au kuwa hata less than 50% ya hiyo $7.9. Hizo $7.9 ni just estimates za watu.

REMEMBER, hizo $7.9 estimation ni from developed world! Effect yake ni kwamba, leo hii Samsung akifanya global Samsung 8 publicity, LAZIMA atafanya location targeting. Hapa, tangazo lile lile, kwa North America linaweza kuwa na thamani ya $15 per 1000 Views wakati Afrika likawa na $3 or less per 1000 Views!!!

WHY? Kwa sababu Viewers from North America wana uwezekano mkubwa wa kuwa customers compared to Viewers from Africa!!!

Aina ya mwisho ni Cost/Pay Per Click.
 
Hii $7.9 per 1000 mdau anaitwa Root ndio kaitaja,na nimepiga hesabu kwa kutumia rate hiyo, labda aje aitolee ufafanuzi
 
mkuu si umesema unalipwa dola 7.9 tangazo likiwa viewed mara 1000 na Youtube wanachukua 45% ya revenue? sasa jamaa kulingana na hao socialblade jamaa amepata views 10,000, 000+ kwa siku 30 zilizopita hapo ni dola 79,0000 assuming matangazo yameonekana kila mara video inapokuwa viewed, ila kwa kuwa sio kila mara tangazo linatokea tufanye ni dola 50,000, hapo Youtube wana chukua 45% ya $ 50,000 ambayo ni $ 22,500 wanamuachia $ 27,500 ambayo inaangukia kwenye range ile ile tu

Ndugu, sio kila video inakuwa na tangazo na si kila mtu anaangalia tangazo. wewe ni video ngapi za kwenye channel ya AYO ulikuta ina tangazo na ukaliangalia?
Huko unapotoa hizo stats si youtube na ndio maana na wao wanakisia tu
 
Nyie wenyewe mnaleta habari kama hizi sasa mkipigiwa kodi mnaanza tiralila...Nadhani TRA mmesoma hii j3 kodi ilipwe..
Hapo tu, Millard Ayo asubiri tu zile ngo ngo za TRA Tanzania, jamaa huwa hawakawii, na wana hasira kishenzi na wanatafutaji, kisa hakuna mangumashi, ile pamoja na mahesabu yote hasa ya chige Bado Millard Ayo anatupiga bao kaka zake na vijana wenzake, hongera zake, ila hapa kuna hesabu kidogo zimekaa vibaya, hasa kuhusu maswala ya matangazo, clip za Millard Ayo hazina matangazo sana, na navyojuwa watu wa AdSense na whatever ni wachungu mno, sababu ni Tanzania sitashangaa kama wanalipa $1 au hata chini kwa tangazo..
 
Hii $7.9 per 1000 mdau anaitwa Root ndio kaitaja,na nimepiga hesabu kwa kutumia rate hiyo, labda aje aitolee ufafanuzi
Sio kwamba Root amekosea lakini kama nilivyosema, hiyo figure aliyosema ni estimation.

Aidha, ni kama nilivyosema hiyo figure ni average and mostly, kwa mahali kama North America na Western Europe. Ads nyingi zinakuwa na audience targeting na linapokuja suala la Africa, thamani ya matangazo yake ni ndogo compared na thamani ya tangazo lile lile kama linakuwa displayed in Europe or America.
 
Hapo tu, Millard Ayo asubiri tu zile ngo ngo za TRA Tanzania, jamaa huwa hawakawii, na wana hasira kishenzi na wanatafutaji, kisa hakuna mangumashi, ile pamoja na mahesabu yote hasa ya chige Bado Millard Ayo anatupiga bao kaka zake na vijana wenzake, hongera zake, ila hapa kuna hesabu kidogo zimekaa vibaya, hasa kuhusu maswala ya matangazo, clip za Millard Ayo hazina matangazo sana, na navyojuwa watu wa AdSense na whatever ni wachungu mno, sababu ni Tanzania sitashangaa kama wanalipa $1 au hata chini kwa tangazo..
Kwamba Millard Ayo anatupiga bao vijana wenzake ni jambo lisilo na mjadala... jamaa anapiga mkwanja wa kutosha kuliko mabosi wengi wa Tanzania! Na kimsingi, sio vijana wenzake tu, sidhani kama kuna yeyote kutoka kwenye tasnia ya habari anayemfikia Ayo! Na ukimtoa Diamond kwenye Youtubing, wengine wote watakuwa wanamfuata kwa mbali!

Ukiwa na resources, blogging inalipa!
 
Daaah, asanteni chige na Roots kwa kutuchambulia vizuri mchanganuo. Ayo kawapiga bao wenzake ktk tasnia yao ya media. Ila akija kushindana na sisi kwenye tasnia yetu ya greenhouse farming pamoja na International investment tunamfolenisha tu. Mwisho wa siku jamaa ananidhamu sana ndio maana anafanikiwa.
 
Kwanza kabisa nikupe hongera Millard ayo kwa kazi nzuri unayofanya ya uandishi wa Habari. Wewe una kipaji kikubwa sana.

Presenter millard Ayo ndio anayetajwa kuwa mtu anayepokea royalities za You tube nyingi zaidi baada ya Diamond Platnumz katika nchi ya Tanzania, hii ni kutokana na viewers na subscribers wa channel zake ambapo kwa mwezi malipo yake huwa yana range mil 50 hadi 80 kutokana na idadi ya viewers, diamond anarange 80mil-130mil kwa mwezi.

Kwakweli nimpe hongera kwani ameajiri vijana wengi(zaidi ya 10) ktk online TV yake.
Vijana nawaasa muwe wabunifu kama millard na mtafanikiwa sana. Millard ayo tunatarajia kuona mambo zsidi kutoka kwako, ikiwezekana ufungue kituo cha radio na television kwani una mashabiki wengi.

Wengine wanaovuna mkwanja mkubwa you tube ni global tv, harmonize, rayvanny. Actually hata wasanii ambao sijawataja nao wanapata pesa nyingi tu.

Thanks
Mtu anaingiza 50-80m kwa mwezi halafu bado ameajiriwa? Come on!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We sio kijana? Au we pesa hutaki.. Mbona unajiengua kwa kusema vijana nawaasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom