MILITARY RADAR: UK judge highlights Vithlanis role as paymaster! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MILITARY RADAR: UK judge highlights Vithlanis role as paymaster!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Informer, Jan 17, 2011.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ifuatayo ni hukumu kamili ya jaji wa Uingereza inavyo onesha jinsi Vithlani alivyogawa rushwa kwa vigogo wa serikali ya Mkapa (Chenge, Idris Rashidi, na wanajeshi) ili wapitishe dili la radar. SFO wamempa Edward Hoseah wa PCCB faili zima lenye ushahidi wa rushwa ya rada anaogopa kuwashitaki kina Chenge kwa kuwa Kikwete haruhusu vigogo wenzake wapelekwe mahakamani. Mafisadi kweli wameiteka serikali ya Kikwete...

  Source: THISDAY, Monday Jan. 17, 2011, edition
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MBALI NA VITHLANI NI AKINA NANI WENGINE MAWAKALA WA UFISADI NCHINI?

  Hivi katika sakata mbali mbali zenye kuhusishwa na ufisadi hapa nchini, Tanzani tuakua na PAYMASTERS wangapi ambao ama wanawapokelea au kulipa rushwa wakubwa walioko huko serikalini????

  Fedha hizi zote za ufisadi za mabilioni kwa mabilioni Rostam Aziz, Edward Lowassa na mafisadi wengine nchini huwa wanaenda kuchukua cheki wenyewe banki kuu na kuwapitishia wafuluishaji wengine wengi ki-kitenesi chao wenyewe?

  Mbali na huyu njemba aliyetajwa na mahakama ya Uingereza ni KIUNGO MUHIMU kwenye ulimwengu wa ufisadi, je ni akina nani wengine ambao bado hatujawafahamu?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Funika kombe ..............
   
 4. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Kuna mambo ya kujiuliza hapa mtoa mada. Wakati huo nani alikuwa wapi na leo yuko wapi? Kama kitenisi naye kwake kilidunda leo utawezaje kuwageuka wenzio? Wapo wachache wanaoiweza gemu hiyo lakini kama hawakuwa wahusika kikamilifu. kinyume cha hapo ni yale maneno yanatekelezwa" hata wananchi wale majani" sisi tuletee chetu Vithalni".
   
Loading...