Milipuko ya mabomu stockholm sweden-kiswahili chahusishwa

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
12,894
15,636
14s16-abuzaid-143__1351213l.jpg

hili tangazo limetolewa leo kwenye mtandao wa magaidi

wakati watu wakijiandaa na christmas,jumamosi kuna tukio lilitokea stockholm central,ni baada ya bwana mmoja mkimbizi toka iraq aliyepewa uraia wa sweden alilipukiwa na bomu alilokuwa amejikoki tayari kwa kwenda kujilipua kwenye mkusanyiko wa watu wengi.inavyosemekana hayo mabomu aliyobeba yaliwahi kulipuka kabla ya muda wake na yakamuua mwenyewe mbebaji na kujeruhi watu wawili,kuna mabomu pia aliyokuwa ameweka ndani ya gari yake nayo yalilipuka dk kumi kabla na haya aliyobeba kumlipukia mwenyewe.

habari zaidi soma chini

One dead after suicide bombing in Stockholm
 
Waswahili kwenye mambo ya ugaidi tulianzaga zamani, hata mabomu ya pale Dar na Nairobi kiswahili kilihusishwa. Na yule jamaa kule marekani vile vile ni mswahili. Wengine wamesambaa mpaka Pakistan kwa hiyo tusishangae sana, au vipi?
 
Mkumbuke huyu jamaa aliyejilipua ni mu-Iraqi na kule kwao iraqi kulivamiwa na hawahawa jamaa, so tumieni akili na mueleo badala ya kutukana uislam.
 
Cancer mbaya ni kubadilisha sheria za KANISA ili mwanaume amuoe mwanaume mwenzie na mwanamke amuoe mwanamke mwenzie kisha waruhusiwe kumuasili mtoto!! (na kuwalaumu wale wote waendao kinyume cha ubinaadam kwa kuoa wake zaidi ya mmoja!)
Kanisa linaingiaje hapa? islamic mind is a closed mind. Ndio ile mnayoita kupigwa muhuri wa kupotea na allah..sivyo?
 
Pamoja na propaganda zote na gharama kubwa ya maisha na resources kuupiga vita Uislam, bado ni DINI inayokuwa kwa kasi katika nchi zinazoendelea! watu kama wewe ni "Promotion" katika kuimarisha Uislam!
Dini inayokua kwa kasi kwa sababu ya kutofuata uzazi wa mpango, and as a results umaskini hautoondoka miongoni mwa jamii hizo za kisilamu.

BTW, uwingi wa watu hauna mafungamano wowote na usahihi wa wanachokifuata.
 
We baki na dini yako mnayo lawitiana, hayo ndiyo maendeleo unayoyataka. Uislam ni dini yenye misingi imara kamwe haitaburuzwa

Sina dini, and if i was to choose religion I WILL NEVER choose Islam..dini ya kale isiotaka kubadilika.
 
Kanisa linaingiaje hapa? islamic mind is a closed mind. Ndio ile mnayoita kupigwa muhuri wa kupotea na allah..sivyo?
umenena Uislam ni Cancer! sasa si bora uanze na hiyo ya OPEN MIND kuruhusu mashoga ya KIKE na KIUME yaoane ALTARENI!
Nilikua nahisi kama nimtu unajenga hoja kumbe mtupu kweli!
 
Mkumbuke huyu jamaa aliyejilipua ni mu-Iraqi na kule kwao iraqi kulivamiwa na hawahawa jamaa, so tumieni akili na mueleo badala ya kutukana uislam.
Kwanini asiende kujilipua Iraq? Sasa mwishoe kaishia kujilipua mwenyewe..Funny eeh?
 
umenena Uislam ni Cancer! sasa si bora uanze na hiyo ya OPEN MIND kuruhusu mashoga ya KIKE na KIUME yaoane ALTARENI!
Nilikua nahisi kama nimtu unajenga hoja kumbe mtupu kweli!

Unataka tujadili utupu au utupu wa Usilamu na mtume wake?
 
Sina dini, and if i was to choose religion I WILL NEVER choose Islam..dini ya kale isiotaka kubadilika.
Aliyekuumba ndie ana hukmu juu yako! Uislam haufuati maoni na matamanio yako na siku zote uko update!
Kama una hoja, toa hoja kuthibitisha Uislam umepitwa na wakati (taja relevant example)
 
Btw, hayo maneno ya kiswahili kwene picha, hivi wa Afghan na Wairaq nao wanazungumza kiswahili siku hizi eeh? poor brainwashed muhamedans.
 
Aliyekuumba ndie ana hukmu juu yako! Uislam haufuati maoni na matamanio yako na siku zote uko update!
Kama una hoja, toa hoja kuthibitisha Uislam umepitwa na wakati (taja relevant example)

Sijaumbwa bana mdogo..Nimezaliwa na wazazi wangu na kulelewa na mama yangu. Huyu muumba wako simjui.

Unataka nikupe hoja gani zaidi ?? hivi hii thread inahusu nini?
 
Btw, hayo maneno ya kiswahili kwene picha, hivi wa Afghan na Wairaq nao wanazungumza kiswahili siku hizi eeh? poor brainwashed muhamedans.
Hakuna kitu kianaitwa "MUHAMEDANS" ndio maana nikakwambia wewe "mtupu" huna hoja! sasa ndio umekumbuka topic ni NINI?
 
Hakuna kitu kianaitwa "MUHAMEDANS" ndio maana nikakwambia wewe "mtupu" huna hoja! sasa ndio umekumbuka topic ni NINI?

Sasa naona napoteza muda wangu kuongea na mtu alietoroka Mirembe. Soma thread na hoja nilizozitoa, kama vipi take a hike.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom