Milipuko ya mabomu stockholm sweden-kiswahili chahusishwa

Naomba kuuliza, wanaojilipua kwa ajili ya kuilinda dini ya allah S.W ni wasafi? Namaanisha huwa ni wamchamungu au imani yao haba?
Kama imani na matendo zero wanapata swawabu kweli?

Kama wanaenda kujilipua wao wenyewe(normal suicide), fine enpugh..we would n't give shyt. Lakini wanapoenda kujiua ili kuuwa na watu wasiohusika, au kuwatia kilema, we can't accept that nonsense. Hata kama wameambiwa na mungu wao.

It is the same thing, mtu kama anataka kwa khiyari yake kuamini ktk dini inasema jua linazama kwene matope au kitabu chao kimeshushwa, fine enough. Lakini anapotoka na kutaka kuwaswaga watu wengine wafuate hiyo dini yake muflisi kwa nguvu, then we will have a problem and we can't accept that.
 
mabomu hupigwa akafa mtu mmoja?au hushindwa kulipuka? lkn mtoto mdogo huuwa watu zaidi ya 10 huko marekani. mabomu ni usanii ili kuendelea mauji huko iraq na afaghanistan
Na yale mabomu yaliyopigwa kule Madrid hayakulipuka sio? yaliua watu wangapi?
 
Kama wanaenda kujilipua wao wenyewe(normal suicide), fine enpugh..we would n't give shyt. Lakini wanapoenda kujiua ili kuuwa na watu wasiohusika, au kuwatia kilema, we can't accept that nonsense. Hata kama wameambiwa na mungu wao.

It is the same thing, mtu kama anataka kwa khiyari yake kuamini ktk dini inasema jua linazama kwene matope au kitabu chao kimeshushwa, fine enough. Lakini anapotoka na kutaka kuwaswaga watu wengine wafuate hiyo dini yake muflisi kwa nguvu, then we will have a problem and we can't accept that.
Mkuu naona gia ipo pale pale
 
Muyahudi akiuwa famili nzima ya Mpalestina kwa kombora la ndege ya kivita......................kisha mpalestina akavaa mabomu na kujilipu sokoni na akawaua Jews kadhaa kulipiza kisasa, itakua ni Dini imemtuma?

we vipi? Mi nimeuliza swali na wewe unaniuliza.
 
Post ninayoiongelea ni hii, na hujanijibu pamoja na kukwambia zaidi ya mara 5..

Haya jibu sasa..
Hilo swali nimejibu post no 35, 37, na 38. Tatizo hauzingati, ila kejeli na dharau na mizaha ndio priority kwako!
Kwanza unapokosea kuwa muungwana kwa kukubali hilo kosa, hiyo post ni no. 33. wakati wewe umeng'ng'ania ni No. 43! kwa hiyo ulikua unanipotosha.
1. Umedai katika hiyo post no. 33 ya kuwa mimi naamini na kufuata kitabu(Quran) ambacho "mere creation of loony ancient people" thus why nikauliza Je, ni vp kuhusu vitabu vitatu vitakatifu(Torah, Zaburi na Injil) vilivyo tangulia kabla ya Uislam(Quran) una maoni gani? Ulinijibu ya kuwa hivyo ni sawa(check your post no. 36, 39), ingawa vyenyewe ni vya zamani zaidi!
2. Ukauliza 'kama niko tayari kutafuta ukweli? majibu yangu nilitaka kujua kama hivyo vitabu vitatu vya mwanzo unavichukuliaje?, ili tuanze safari ya kutafuta ukweli,maana sitegemei kama una kitabu chako wewe mwenywe! na kama unacho ........ then sina muda!
3. Ukaniuliza kama nitakubali matokeo ambayo yanaweza kuwa ni kinyume na imani yangu, na mie nikakuuliza ......... na wewe uko tayari kufuata yangu ikiwa vinginevyo?
4.Ukauliza tena Je niko tayari kuacha Uislam? nikaonyesha ya kuwa wewe hutaki kuonyesha moja kwa moja uko upande gani, moja ya post yako umesema huna dini na hata ikiwa uingie katika dini au imani basi si Uislam, hivyo, nitoke nikufuate wewe kwenye ukweli upi?
 
The more you continue to post, the more you prove to me that you are an empty can.

Kwanza hakuna mahali nimekosea kutaja post gani niliyokuwa naizingatia..post kabla ya MOD mlevi kuondoa baadhi ya post, ilikuwa post #43..

Nimekuuliza swali wewe pathetic muhamedan, badala ya kujibu wewe unauliza tena swali na kuleta habari sijui za vitunguu , torati sijui Injil..

Narejea tena kwa mara ya mwisho kukuuliza maswali yangu, kama hutojibu vile ulivyoulizwa basi ntajua tu kwamba its either unakwepa maswali kwa sababu unajua madhara ya majibu yako, or you are the dumbest person i ever met in JF.

Haya ukumbi ni wako.
 
teh teh teh teh teh amesepa huyu muhamadean teh eh teh teh teh teh teh
 
Mimi sio "MUHAMEDANS" na sikijui hicho kitu, isipandikize watu majina yako ya Kizushi! Wewe huna maana yoyote! 'Mmbu' ana maana kubwa ya uwepo wake hapa duniani kuliko wewe !! endelea na ukafiri wako na Inshaalllah mwenyezi mungu akulipe unachostahili!
 
Hakuna kitu kinaitwa Muhamedans we Mgalatia! hana hoja ya kumfanya mtu asepe zaidi ya kua amejaa kiburi cha kidunia! (Kwa kuwa nyie mnajiita wa Kristo kutoka kwa Yesu Kristo.................. basi na sie ni "MUHAMEDANS"!!!) acheni ujinga.
'Hakika ya Issah(Yesu Kristo) kwa mwenyezi mungu ni kama hali ya Adam, alimuumba kwa udongo kisha akasema kuwa na mara ukawa' Quran:Al Imran aya 59.
 
Koh koh koh..ina maana maswali yangu yamekushinda??

Now what can we make out that?:- ** Chagua jibu sahihi **

A) Maswali yanahitaji superior mind kwa maana yamezidi bar ya uelewa ya nabii Makombo.
B) Majibu ya maswali yanaeza kumfanya usitaaz Makombo kuwa kafiri (anaogopa kujibu)
C) Mtume Makombo did not even understood the questions in the first place ( incredibly incompetent )
D) Sheikh ubwabwa Makombo is closed-minded.

Honestly, i can't stop laughing, bwe he he he..

BTW, ngoja nikusaidie, Muhammedan = A believer or follower of Mohamed/Islam
 
"Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyezi mungu ni Uislam" Quran: Al Imran 3:19
"Na bila shaka tulimpeleka mtume katika kila umma, ya kwamba muabuduni mwenyezi mungu na mwepukeni shetani" Quran 16:36
" Na kila kaumu ina kiongozi wake" Quran 13:7
(Na mitume ni hawa tunaowafuata na si Muhammad s.a.w, pekee; Adam a.s, Idris a.s, Nuh a.s, Hud a.s, Salih a.s, Ibrahim a.s, Lut a.s, Ismail a.s, Is-haq a.s, ya'qub a.s, Yusuf a.s, Shu'ayb a.s, Ayub a.s, Dhul-kifl a.s, Musa a.s, Harun a.s, Daud a.s, Sulayman a.s, Ilyas a.s, Alyasa a.s, Yunus a.s, Zakarriya a.s, Yahya ibn Zakarriya a.k.a Yohana Mbatizaji a.s, Issah a.k.a Yesu a.s, Muhammad s.a.w)
"Enyi watu muabuduni mola wenu aliyekuumbeni na akaumba waliokuwa kabla yenu ili mpate kuokoka" Quran 2:21
" Wala hakuweka mambo mazito katika dini, dini hii (islam) ni mila ya baba yenu Ibrahim, Mwenyezi mungu aliwaita waislam tangu katika vitabu vya mwanzo (Tourat, Zabur na Injil) na katika Quran hii pia" Haji 22:78
Muhammad s.a.w, ni Nabii wa Mwisho, Quran,Al Ahzaab 33:40
Tafadhali ondoa uzushi wa hicho kitu "Muhamedans" jina letu tunaitwa Waislam, period
 
lol..

Nimeshapata kufahamu nilichokihitaji, so i will not be wasting my time reading ur idiotic posts.
 
Unalo!? nimemalizi mchezo, ndio maana nilisema Mmbu anafaida kubwa sana duniani............... kuliko ***** wewe! Maana Mmbu anaweza kukudunga Malaria ukatokomea na kiburi chako kisicho na maana!

Timothe 6:16, "Ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti"
Quran, 2:255,"Hapana mola ila yeye mwenye uhai wa milele"
Quran, 4:1, "Enyi watu, mcheni Mola wenu ambaye amekuumbeni katika nafsi moja(Adam) na akamuumba mkewe (Hawa) katika nafsi ile ile na akaeneza wanaume wengi na wanawake"
 
Tusishangae Kiswahili hii ni Lugha ya Kimataifa kama Kiingereza au lugha nyingine yeyote ya Kimataifa mbona haushangai Kiingereza au Kiarabu kutumika
 
uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo kuliko mdudu kunguni! ndio maana wanathubutu kusema mungu alikamatwa na akawambwa msalabani na kisha akafa, sijui ni nani alikua 'on duty' wakati mungu kakamatwa?? alaaniwe yeyote asemae mungu ana mtoto!
 
Moderators,

Thread hii imekosa mwelekeo. Imekuwa ya kushambuliana tu na sheria msingi za mijadala ya hapa nadhani zote hazizingatiwi.

Hata ikiachiwa kuendelea naona inajenga mazingira ya kututenga na kututofautisha kwa dini zetu. Hivi mjadala ukiendelea tutafikia wapi na nani atakuwa mshindi?

Nadhani thread kama hii inakinzana na sifa ya blog hii kuwa the Home of great thinkers. Great thinkers hujadili masuala mazito. Watu akianza kuitana kunguni na heshima ya hapa inashuka.

Please, Please do something about it, JF isiwe sehemu ambayo chuki za kidini na udini unakuzwa Tanzania. Plzz, plz.
 
Hakuna kitu kinaitwa Muhamedans we Mgalatia! hana hoja ya kumfanya mtu asepe zaidi ya kua amejaa kiburi cha kidunia! (Kwa kuwa nyie mnajiita wa Kristo kutoka kwa Yesu Kristo.................. basi na sie ni "MUHAMEDANS"!!!) acheni ujinga.
'Hakika ya Issah(Yesu Kristo) kwa mwenyezi mungu ni kama hali ya Adam, alimuumba kwa udongo kisha akasema kuwa na mara ukawa' Quran:Al Imran aya 59.
Hao nilo wawekea colors tofauti ni watu wawili tofauti. Usijaribu kuwalinganisha asilani.
 
Back
Top Bottom