Milipuko ya Mabomu Mbagala na Gongo la Mboto: Je, ni hujuma?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Kumekuwepo na taarifa zisizokuwa rasimi watu wakithubutu hata kusema milipuko yote iliyotekea katika makmbi hayo ni hujuma je wewe na mimi waweza kuhisi ni hujuma au ni bahati mbaya?

Maana kwa mtizamo wangu mimi ninaona ni uzembe!!Maana kama ingekuwa ni hujuma sidhani kama wanaofanya hujuma wangepoteza maisha yao!!Maana kwa tetesi ya watu waliokufa mbagala nizaidi ya idadi iliyosemwa na serikali!!

Kwanza inasemekena Vijana waliokuwa wakifanya ukaguzi kwenye maghala hayo ilikuwa ni Platoon Moja wale wenzangu na mimi mliobahatika kupitia mgambo au JKT mtakuwa mmejua nimemaanisha nini Platoon ni idadi ya watu 33! Hivyo wote hakuna aliyenusurika katika ajali ya mbagala achilia waliokuwa katika mabweni!

Sasa, waliokufa Gongo la Mboto walikuwa wangapi waliopoteza maisha katika Ajali hi je niwale waliotajwa na serikali au ni zaidi ya hapo?

Je, ni bahati mbaya? Je, ni uzembe? Je, ni hujuma? Je, ni nani awajibike: Mnadhimu wa Jeshi au Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi?
 
Dr. Wilbrod Slaa,

Tunafuatilia kwa karibu matukio ya milipuko ya ghala za JWTZ huko Gongo la Mboto. Ni wazi kuwa licha ya madhara ya uharibifu wa mali kutakuwa na madhara katika maisha ya watu na makazi yao. Wakati huu si wa kutupiana lawama na shutuma bali ni wakati wa kuja pamoja kama Taifa kuhakikisha kuwa hali inatengemaa na maisha ya wananchi wetu yanarejeshwa katika utengemau mapema. Poleni wahanga wa GlM

nimekuta facebook hii comment.......sijaamini kama imetoka kinywani mwa Dr. Slaa
HONGERA Dr.SLaa KWA KUONYESHA MOYO HUO....BIG UP DOKTA.....BIG UP DOKTA...BIG UP DOKTA
Mshauri uliyempata sasa usimwache
 
Back
Top Bottom