Milipuko huko kigamboni

Mlachake

JF-Expert Member
Oct 13, 2009
4,412
4,559
Naona moto mkali na sauti kama milio ya baruti huko maeneo ya kigamboni whats going on guyz. isije ikawa kama siku zileee
 
Naona moto mkali na sauti kama milio ya baruti huko maeneo ya kigamboni whats going on guyz. isije ikawa kama siku zileee
niko hk goba nasikia hy misauti nimetoka nje najaribu kuchungulia hata nimekuwa nawsws bhana
 
Siku izi bongo kama somalia tu, watu wanarupua wana iba wanakaba wakiondoka tu Difender ya mapolisi CCM hiyo wanakuja kuzuga na kufahamu wamechukua kiasi gani.
 
Siyo Kigamboni ni hapa maeneo ya Namanga wanalipua baruti ila sijajua ni kwa sababu gani.
 
Inawezakana ni sikukuu za wahindi. maana hawa wanaweza klipua baruti zao bila kuwataarifu wananchi
 
Back
Top Bottom