hata miye nilisikia but i think ni fataki, anyone? please confirm, watu tunaishi kimachale machale
Confirmed, ni fataki za wahindi City Centre. Polisi wamechukua hatua ya kuzuia ulipuaji wa fataki hizo kwani zimesababisha usumbufu usio wa lazimani hao ndugu zenu waasia wenye asili ya Tanzania-courtyard...... !
mmh! Si muhamie huku. Hamtosikia fataki wala miluzi jinsi kulivyotulia.
Hata huku nako ni kimyaaa, yaani hata sindano ikidondoka utaisikia. Haswa nyakati za usiku!mmh! Si muhamie huku. Hamtosikia fataki wala miluzi jinsi kulivyotulia.
Watu walikuwa wanashangilia ushindi wa India dhidi ya Sri Lanka kwenye kombe la dunia la Cricket?
ni hao ndugu zenu waasia wenye asili ya Tanzania-courtyard...... !
LOL...umeniacha hoi ndudgu..mwenzako napenda sports zote..sana sana Soccer na F1..ningekua hopo hotelini nisingekosa chochote mana kote niko!Yaani mimi huwa nimelogewa kwenye soka tu.
Hii post yako imenifanya nicheke sana, Am sorry cricket fans.
Umenikumbusha kipindi fulani nikiwa hoteli moja Dar niliomba niwekewe ss3 niangalie game ya Manu na Liverpool, nikaambiwa kuna mteja aliomba awekewe Formular one acheki mashindano ya Langa langa.