Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Tunapoambiwa au kusikia inafaa tujiulize na kupata jawabu,hadi leo bado sijapata jawabu la wizi wa Milioni saba kwa dakika ,Je wewe unaweza kutupangia mahesabu ? Great thinkers mpo !
wizi huu ulianza lini hadi ulipogundulika na kusimamishwa ? saa ina dakika sitini siku sijui ina dakika ngapi,chukulia wizi wa milioni saba kwa dakika ulifanyika kwa mwezi mmoja ni ngapi zitakuwa milioni ?
Inawezekana kabisa sikuelewa pengine ziliibiwa milioni saba ndani ya dakika ila inaposemwa kwa kila dakika naamini kabisa kama zitarudishwa basi Tz haitadaiwa na nchi yeyote ile ,wewe unaonaje na umeuelewa vipi wizi huo ? Kichwa kinakaribia kukatika kwa kuzunguuka.