Ujenzi wa nyumba kwa bajeti ya milion 5

Hapa naona tunabishana tu ,wewe unasema nafuhu na mimi nakwambia sio nafuhu,ukianzisha uzi idadi ya watu walijenga watatoa ushuhuda....wewe una interest zako kama fundi ili watu waingie MKENGE kwamba ni nafuhu ila mwisho wa siku wanaishia njiani,mambo ya slope upande mmoja kwani kila mtu anajenga chumba kimoja na sebule?
nani fundi ka kwambia we ndio umesema mara dalali wa ujenzi mara nini...mimi ni mteja
 
nani fundi ka kwambia we ndio umesema mara dalali wa ujenzi mara nini...mimi ni mteja

Sasa kama wewe mteja halafu unabisha bisha ndio nini sasa? Mimi ni dalali wa ujenzi natafuta kazi naziuza kwa mafundi ,nishazijenga hizo hidden roof tatu ,nyumba ya vyumba vinne mbili na vyumba 6 moja, marine za kukodi tulitumia laki 5 za 60cm ,sasa piga mahesabu ya marine za 60cm 100 ni nyumba ya aina gani na hizo slope zako unaziwekaje.
 
Sasa kama wewe mteja halafu unabisha bisha ndio nini sasa? Mimi ni dalali wa ujenzi natafuta kazi naziuza kwa mafundi ,nishazijenga hizo hidden roof tatu ,nyumba ya vyumba vinne mbili na vyumba 6 moja,marine za kukodi tulitumia laki 5 za 60cm ,sasa piga mahesabu ya marine za 60cm 100 ni nyumba ya aina gani na hizo slope zako unaziwekaje.
Hapa naona tunabishana tu ,wewe unasema nafuhu na mimi nakwambia sio nafuhu,ukianzisha uzi idadi ya watu walijenga watatoa ushuhuda....wewe una interest zako kama fundi ili watu waingie MKENGE kwamba ni nafuhu ila mwisho wa siku wanaishia njiani,mambo ya slope upande mmoja kwani kila mtu anajenga chumba kimoja na sebule?
kwani lazima apaue mitindo yenu ya mchomoko ananweza kufanya hidden roof na bati na mbao chache sana..
Hidden roof hapana hainipendezi japo nataka ya nyumba ya gharama nafuu
 
Sasa kama wewe mteja halafu unabisha bisha ndio nini sasa? Mimi ni dalali wa ujenzi natafuta kazi naziuza kwa mafundi ,nishazijenga hizo hidden roof tatu ,nyumba ya vyumba vinne mbili na vyumba 6 moja,marine za kukodi tulitumia laki 5 za 60cm ,sasa piga mahesabu ya marine za 60cm 100 ni nyumba ya aina gani na hizo slope zako unaziwekaje.
kapige ramli bana... maswali niliyokuuliza hapo juu umeshindwa kujibu unakimbilia anzisha uzi...mara nyie mafundi wewe fundi..shutuma tu..mtandaoni raha sana unaweza ukabishana na mtu kumbe hata mkikutana hamuwezi kuongea chochote nyie ndio wale mnavalue kitu bei tofauti na na uhalisia mf. binafsi na yadi watu wapiga domo wanaivalue milion nyingi lakini uhalisia wa gharama ni mara tano yake..nawaambia watafute mtu mwenye nusu ya value yao niiuze...hawapati wenye kuwa na shida nayo wanakupa value sawa au pungufu kidogo...kwa hio sishangai ukibisha sana
 
Hapa unamuingiza cha kike mkuu , 4m kuezeka? Mbao Tsh ngapi? bati Tsh Ngapi? Ufundi tsh ngapi? material misumali,kofia,usafiri??
Msamehe hajui akiandikacho.

Kama nyumba ni ndogo hiyo 15M akijibana sana hapo anahamia nyumba isiyo na finishing.

Hints kwa uchache tu
Ikiwa ni Arusha:-
Msingi jenga wa mawe
Kenchi changanya mirunda na mbao
Bati usinunue ALAF

Atapata nyumba ila sio nyumba bora. Ni heri achelewe ila ajenge nyumba nzuri yenye viwango.
 
Kupanga ni kuchagua,inawezekana sana,bando la bati ya gage 30 ni 325000 ,tufanye atumie 4 1300000 ambazo ni nyingi sana,hope zitapungua
Mbao tuseme iende 1.5 mpaka blanda
Fundi na vilivyobaki wanagawana,it possible chief.
Labda kama anataka msauzi
Bati bando nne alafu mbao za 1.5M daah
 
Utaweza japo kibishi,mimi nataka nitumie hiyo kwa kujenga,kuezeka na kufunga grill kwa ramani yangu nimetageti hiyo pesa sasa nasubili wazoefu wanieleze
 
Akili zetu watanzania ni kujenga tu.. Tumejiwekea imani kuwa bila kujenga maisha hayaendi... Anzisha biashara, zalisha hayo mamilioni, utajenga tu
Daaaaah kweli ayseeeee mwaka jana mwezi wa 10 nilapata uo mtiani ,,nilikuwa na kiasi kidogo cha fedha 3M malengo yangu nikaanze kununua tofali kwanza alafu mambo mengine yaendelee, mchumba wangu alinishauri niache kununua tofali ela yote niingize kwenye biashara , mwanzo nilimpinga nikaona ngoja nitafute ushauri zaidi na zaidi Kati ya watu 6 niliowaomba ushauri 5 wakasema niwekeze kwenye biashara niachane na tofali, mwezi wa 11 nikatafuta flemu nikanza biashara ya vyakula, ndani ya mwezi 1 biashara ikanipatia biashara nyingine ya UWAKALA ,, ADI APA NIANDIKAPO SMS HII ILE 3M NILIYOKUWA NATAKA NIKANUNUE TOFALI IMERUD NA MTAJI BADO NINAO
 
Huyo mchumba wako una mpango gani nae?
Maana dalili njema hizi
 
Nina kiwanja cha 20m kwa 20m, nataka kujenga 11m kwa 11m room Tatu sebule Choo na bafu za kawaida milioni kumi na tano, nitaweza kuanza kuishi kama haijakamiha inatosha kama nyumba ni yakawaida ila kama nyumba ina mbwembwe nyingi haitoshi,ukiwa tayari nikupe vijana wangu wakupigie kazi ndani ya muda mfupi
 
Back
Top Bottom