Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu

...Kimya? Au ilikuwa ni Story tu sasa bado anafikiria aiendelezeje??
Unafikiri kama amezichota atarudi saa hizi huku? kama ni mtu wa tungi keshaanza kama ni mtu wa 'bondeni' atakuwa amelipia room ya siku tatu au wiki pia si ajabu anahojiwa huko kwa kujaribu kuiba baada ya kufuata ushauri kutoka jamii forums ole wake kama alikuwa anajaribu kuchota mshahara wa FFU au JWTZ.
 
mtego huo jiangalie sana mkuu!!!hapo we toa jumla ya pesa sako zilizokuwa kwenye hiyo akaunti waachie hio mil 50 yao wataitoa tu maana ukiacha naya kwako isije kombwa bure ukalaani....hiyo mil2 yako itoe hamishia kwenye akaunti nyingine waache msala wao waumalize then uendelee na akaunti yako km kawaida.pole sana..
Habari zenu ndugu zangu, nimeacha pesa kidogo sana kwenye
Account yangu ya NMB. (2,356,700) Nimeenda kuangalia salio
nimekuta 52,356,700.

Je naweza kuchukua hizi pesa na nisishitakiwe?
kama nitashitakiwa kuna uwezekano wa kushinda kesi?

Tafadhali naombeni maelezo haraka iwezekanavyo.

NB kwenye heading ni (50,000,000)
 
Mwenzio anahojiwa huko saa hizi, maana mpaka sasa hajarudi bila shaka kabanwa na haja ndogo maana Vijana wa Kova wakikutolea macho tu wanatisha je wakikuhoji?
 
dah, sasa wadau hapa sijui tutamsaidiaje jamani......!!!!!hao vijana wa Kova tangu wafanye umafia kwa Mwangosi, mimi sina hamu nao hata sitaki kuwasikia!
Mwenzio anahojiwa huko saa hizi, maana mpaka sasa hajarudi bila shaka kabanwa na haja ndogo maana Vijana wa Kova wakikutolea macho tu wanatisha je wakikuhoji?
 
Habari zenu ndugu zangu, nimeacha pesa kidogo sana kwenye
Account yangu ya NMB. (2,356,700) Nimeenda kuangalia salio
nimekuta 52,356,700.

Je naweza kuchukua hizi pesa na nisishitakiwe?
kama nitashitakiwa kuna uwezekano wa kushinda kesi?

Tafadhali naombeni maelezo haraka iwezekanavyo.

NB kwenye heading ni (50,000,000)

hiyo pesa si yako na haijawekwa kimakosa ni mchzo tu unachezwa na upepo ukipita wajanja wataramba pesa hiyo na utaambulia kuitunza ktk acc yako.
 
kweli huyu jamaa akicheza atakufa maskin....hizi ni bahat wajameni sasa kapata afu anajiumauma....
 
kijana wewe kama customer una duty kwa bank kureport ongezeko la hela ambalo sio zako
ili kuwa katika safe side usitoe kiasi kinachozidi salio lako
kama unaona shida kureport.
kama zikikaa kwa zaidi ya miezi 3 itakuwa bahati yako
 
oya bwana Lokissa ningekua mimi nazitoa..kwani nini bwana na wakishtukia nawalipa tene kidogo kidogo..makosa ni yao sasa mimi inanihusu nini...maisha magum mkubwa..ukipata nafasi tumia ukizubaa unakufa maskin!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ipo hivi kama mambo yako yako fresh kitaa achana nazo. Ila kama umepimnda kimtindo unaweza kuvuta mkwan ja huo then kula corner japo for 2 yrs ili soo zilififie
 
Unaweza kuzichukua na kuzifanyia shughuli yako. Baada ya uchunguzi polisi watakufungulia kesi ya wizi kwa njia ya mtandao, lakini ukienda mahakaman, utesema mie nimekuta pesa nikatumia. Sijamwibia mtu yeyote. Hivyo itabadilika na kuwa kesi ya madai. Kwa hiyo utalazimika kuzilipa kwa mfumo mtakao kuwa mmekubaliana.

Kisheria huruhusiwi kutumia kitu kisicho mali yako, kufanya hivyo ni wizi. Unatakiwa ufanye utafiti kweli labda kuna ndugu yako kakukumbuka. Fungua jalada(toa taarifa polisi) ili hata siku ukitaka kuzitumia uwe na kinga

Hapo kwenye red pameniacha hoi..Walivyo walafi hao eti umezikuta kwenye account na hujui zimetoka wapi? Mh! Mi thithemi.:tape2::tape2:
 
Ndugu yangu! Penda sana jasho lako kuliko la mwingine,hizo pesa si zako ni jasho la mwingine kabisa;utashaurika kuzitumia ndio,lakini mwisho ya yote ni kujiingiza kwenye matatizo ya ajabu,ambayo yatakuvunjia heshima yako,muda wako na hivyo kuujiingiza kwenye nuksi.
Advice;nenda karipoti wachukue pesa zao hii itakuwa bora kuliko kuzichukua hizo pesa na kuvuna mapresha ya ajabu;
 
Arghhhhhhhhh......huyu jamaa kaniharibia siku...sie tunahangaika kutafuta pesa yeye mungu kamletea mzigo wa maana tena kwenye account na wala sio dili unahitaji kwenda ress...kisha anakuja kutuuliza...( watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa)...mungu aliwahi kuyasema haya maneno yapo kwenye kitabu chake cha bibilia.
 
Mbona sisi makuapuku hizi deal hazitupitii? Nazitoa zote nazihamishia kwenye akaunti ya benki nyingine kwa jina jingine na ile akaunti ya nmb nafunga.
 
hiyo pesa si yako na haijawekwa kimakosa ni mchzo tu unachezwa na upepo ukipita wajanja wataramba pesa hiyo na utaambulia kuitunza ktk acc yako.

umenena mkuu, na huwa wanafanya hivyo kwa wale wateja ambao ni wavivu kucheki salio mara kwa mara!
 
Back
Top Bottom