Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milioni Hamsini (50,000,000) zimeingia kimakosa kwenye Account yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Sep 30, 2012.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Habari zenu ndugu zangu, nimeacha pesa kidogo sana kwenye
  Account yangu ya NMB. (2,356,700) Nimeenda kuangalia salio
  nimekuta 52,356,700.

  Je naweza kuchukua hizi pesa na nisishitakiwe?
  kama nitashitakiwa kuna uwezekano wa kushinda kesi?

  Tafadhali naombeni maelezo haraka iwezekanavyo.

  NB kwenye heading ni (50,000,000)
   
 2. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Kaka kuwa mpole tu,,, zitahamishwa soon kupelekwa kwa mmiliki.

  Utajivunjia heshima bure na pesa lazima utairudisha tu siajabu na matatizo juu
   
 3. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Mpaka kesho saa tatu hazitakuepo.
  Ukizikuta zidraw zote uame mkoa, m-50 zinakutoa kabisa kama wewe ni mjanja kama we ni **** usithubutu.
   
 4. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,455
  Trophy Points: 280
  mkuu sijui nikushauri nini ila ngoja nikupe mfano kidogo. Kuna rafiki yangu aliwahi kukuta mil 12 kwenye account yake. Naye bila kuchelewa akaitoa na kuitumia then akaachana na hiyo akaunti.
  Kumbe ile ela iliingia kwake kimakosa baadae akawa hunted na kukamatwa kwa kosa la cyber crime. Japo mwisho alikuja kuachiwa lakini alikuwa kawekwa ndani kwa week mbili na aliachiwa kwa kurudisha nusu ya ile ela na kuhonga honga sana.
  So akili kumkichwa linaweza kuwa ni zali au inawezekana ni shari pia.
   
 5. Mzee wa kurekebisha

  Mzee wa kurekebisha Senior Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Ndugu tutajie akaunti namba yako tutakusaidia
   
 6. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Zipo toka Ijumaa, leo Alfajir saa 11 na dk 5 nilikwenda kucheki nimeikuta.
   
 7. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Hii Comment yako mpaka natetemeka.
   
 8. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuzichukua na kuzifanyia shughuli yako. Baada ya uchunguzi polisi watakufungulia kesi ya wizi kwa njia ya mtandao, lakini ukienda mahakaman, utesema mie nimekuta pesa nikatumia. Sijamwibia mtu yeyote. Hivyo itabadilika na kuwa kesi ya madai. Kwa hiyo utalazimika kuzilipa kwa mfumo mtakao kuwa mmekubaliana.

  Kisheria huruhusiwi kutumia kitu kisicho mali yako, kufanya hivyo ni wizi. Unatakiwa ufanye utafiti kweli labda kuna ndugu yako kakukumbuka. Fungua jalada(toa taarifa polisi) ili hata siku ukitaka kuzitumia uwe na kinga
   
 9. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa sheria za kibenki,makosa yafanywayo na benki hayambani mteja. Hayo ni makosa ya benki. Hupaswi kuogopa. Toa hizo pesa na uzitumie. Utajuta kuziachaacha pesa za bure
   
 10. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Nina uhakika hakuna ndugu yangu wa hivyo, yaani namaanisha
  hakuna kabisa.
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  kamuulize manager wa benki hapo utapata kila aina ya ushauri.
   
 12. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Fifty million!! Hivi pesa zina macho?mbona kwangu hazisogeagi?ndiyo sababu mimi nikizunguka mchana kutwa bila kupata kibarua chochote huwa najitazama kwenye kioo na kujiona nilivyo MBAYA kabisa,Ni presie basi hapo kama 10m hivi nikutunzie!!!
   
 13. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Toka ijumaa chief!! Kuna raia mna upepo wa pesa lkn ndio hivyo tena.
  Acha kuogopa uoga wewe unafikiri ukiwatunzia watakupa hata kumi. Anyway changanya na za kwako sasa..
   
 14. Mzee wa kurekebisha

  Mzee wa kurekebisha Senior Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Anajua akienda huko ataharibu kila kitu
   
 15. Upcoming

  Upcoming Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Chukua pesa hiyo kafanye b'ness kosa lililofanywa na benki haliwezi kukufunga
   
 16. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #16
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,655
  Likes Received: 3,307
  Trophy Points: 280
  Kwekwekwekweeee eti akamuulize nani?huyo aliniibia 6000!!ndiyo umpe dili la mzigo kama huo?
   
 17. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #17
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Unaweza kukuta ni upepo wa gerezani.
   
 18. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Inatia moyo kidogo ingawa haina ushahidi wa kisheria.
   
 19. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Huwa inatokea.....mara nyingi ni vijana wa IT bank wamepanga dili.............subiria watakupigia simu kukueleza kwamba kuna mchongo umeingia kwako kwa hiyo mpange dili ya kuutoa (infact usitegemee kupata chochote ni wajanja sana) Nina experience 2 za watu ninaowafahamu juu ya hilo
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  itaarifu benki, waziondoe. Usichukue kisicho halali yako. Utaishia kufungwa
   
Loading...