Milioni 35 mtu unapata gari gani nzuri

Sometimes nawaza nikubaliane na ile motion ya "Education is better than money" Sa mtu una hela halafu unaanza kujiaibisha kuomba omba watu wakusaidie kuinstall whatsapp
Ukiwa less informed person ndiyo matokeo hayo!

Hivi vitu pia huendana na hobby.. hata wewe ambaye inawezekana ni highly educated man unaweza usijue vitu vingi sana ambavyo viko nje ya hobby yako.
 
Mazda nayo Ni gari?
Unapozungumzia mazd una refer mazda ipi? Na unalinganisha na gari gani kwa bajeti ya mnunuzi?

Ngoja nikupe haka ka mazda axela 2014.
Milioni 34

Kumbuka amekataa vanguard wala kaka zake tako la nyani
car_fc0dc859-c4d4-4171-abc7-b7d8d6580f20_640_0.jpeg
car_481bfb6c-a2b2-4968-83f1-4c120884291f_640_0.jpeg
 
Daa.
Watu wanahela wanafikiria wanunue usafiri gani ..alafu unakuta bado amepanga ila ananunua gari..mi natafuta ya kuchimba choo tuu nipange ma tairi nihamie huko hivyo hivyo nakosa.
Inauma sana.
Kipanga kunategemeana, kuna mtu kajenga mjumba huko Goba, akahamia, akahama kwenda kupanga nyumba nyingine, sababu barabara ya kwenda kwake haina Lami.
 
Kuna mtu kaniomba ushauri hapa kwamba ana milioni 35 anahitaji gari nzuri ila isiwe vanguard ama harrier.

Mimi sio mtaalam wa magari, naomba mnaojua magari mnipe mawazo nikampe mshikaji.

Ahsante.
Muulize kwanza anahitaji gari kwa shughuri gan na uwezo wake wa kuhudumia gari uko vp utampa jibu sahihi kwa style ya uulizaji uo mnaweza peana lawama mbeleni au mkaponhezana
 
Daa.
Watu wanahela wanafikiria wanunue usafiri gani ..alafu unakuta bado amepanga ila ananunua gari..mi natafuta ya kuchimba choo tuu nipange ma tairi nihamie huko hivyo hivyo nakosa.
Inauma sana.
Mawazo ya kimaskini haya. Unaenda kujifungia Mabwepande hukoo. Kiss unaishi kwako. Choo cha matairi, really?
 
Ningekuwa mimi, nasema ningekuwa mimi ningechukua VW Touareg. V6 moja matata sana, ukiwa na 35m manake maintenance costs sio issue kwako. Otherwise kuna VW Touran, gari nzuri pia
 
Back
Top Bottom