Milioni 300 za mtandao zatumika kummaliza Makongoro Nyerere; kisa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milioni 300 za mtandao zatumika kummaliza Makongoro Nyerere; kisa...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by PISTO LERO, Oct 17, 2012.

 1. PISTO LERO

  PISTO LERO JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 2,821
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Shilingi milioni mia tatu {300mil} zatumika na wana mtandao ili kumwangusha mtoto wa rais wa kwanza wa Tanzania.

  Inaelezwa kuwa kura moja ilinunuliwa kati ya shilingi, kisa cha kumchezea mchezo huo mchafu ni tukio kilichotokea mwaka 2005 katika uchaguzi mkuu,ambapo baadhi ya wana CCM walimtaka Makongoro amkane ndugu yake ambae wakati huo alikuwa akigombea ubunge kupitia upinzani. Jambo ambalo Makongoro alilipinga vikali na kuwajibu kuwa hawezi kumkana ndugu yake huyo kwa sababu za kisiasa wana CCM hao walimjengea hasira na kuamua kumsulubisha. Na kali ya mwaka ni hii. Hili limatokea Arusha,baada ya uchaguzi wa CCM uliofanyika katika hoteli ya Naura Spring ambao ulikuwa chini wa mzee flani.

  Baada ya uchaguzi ule kufanyika kwa mafanikio makubwa mzee flani huyo aliwachukuwa wazee wa CCM ambao walionekana kuwa naye bega kwa bega katika kumsafishia mzee flani huyo njia ya kwenda ikulu na kuwapeleka mapumzikoni katika hifadhi ya Tarangire kwa siku tatu. Habari hizi nimezipata toka kwa mzee mmoja ambae na yeye alikwenda katika mapumziko hayo ya siku tatu. Chai ya asubuhi, ya saa nne, chakula cha mchana na usiku,malazi kuwalipa maguide pamoja na magari na kiingilio kwenye hifadhi, gharama zote hizi zilikuwa chini ya mzee flani huyo.

  Mzee huyo anasema walikula na kunywa kadiri watakavyo na mwisho wa safari walipewa bahasha kila mmoja.

  Habari hizi ni za kweli na uhakika.
   
 2. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  watamalizana wao kwa wao
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Makongoro sasa atangulie "Site". Chezea Mamvi wewe!!
   
 4. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Millioni300? unatafutwa uongozi ama biashara?
   
 5. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,800
  Likes Received: 2,571
  Trophy Points: 280
  Kumekucha ccm Sumaye,Kusila,Makongoro ....... Wote wanalia FOUL.
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kama ni za ukweli na uhakika mbona unasema mzee flani? kwanini usiwataje majina. Ni kitu gani unachokiogopa kuwataja majina?

  Kama unashindwa kuwataja majina inamaanisha huna ushahidi ni majungu tu
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,457
  Likes Received: 5,844
  Trophy Points: 280
  Alimsema sana Lowassa huyu Makongoro........namnukuu '' Lowassa wewe ni kaka yangu lakini kule saiti hawatuelewi sababu yako''

  Nadhani Lowassa atakuwa kalipizia
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  mZEE FLANI AU lOWASSA??ACHENI KUZUNGUKA MBUYU WANDUGU
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Anahofia kufa njaa
   
 10. Majita

  Majita JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 606
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  I feel pity
   
 11. E

  Echimbe Member

  #11
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makongoro Alimwambia Lowasa..KULE SITE HATAKIWI WATU HAWAWAELEWI CCM HIVYO LAZIMA WAMVUE GAMBA!
   
 12. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Makongoro ,karibu chadema mlango upo wazi,kumbuka hata bungeni walikunyima kura za bunge la east africa sisi chadema tulikupa ushindi,fanya maamuzi sasa!
   
 13. j

  juu kwa juu JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kazi ya n. karamagi hiyo, uliona wapi fisadi anamsimamia mwadilifu ashinde? Alisimamia fisadi akamsaidia ashinde fisadi.
   
 14. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Mkakati wa mafisadi dhidi ya Makongoro, ilikuwa wampe ubunge wa Afrika Mashahriki ili asigombee uenyekiti wa mkoa wa Mara na hivyo kutokuwa mjume wa NEC ambako waliamini alikuwa anawawekea kiwingu!! Sasa kwavile aliamua kugombea huo uenyekiti basi ndio akabidi wamtoe kwa njia hiyo ya kuwahonga wajumbe; kumbukeni pia kuwa msimamizi wa uchaguzi huo alitumwa fisadi mwenzao Karamagi kuhakikisha kuwa Makongoro anashindwa!!!
   
 15. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  tuheshimu utashi wa wapiga kura wa CCM wa mkoa wa Mara,sioni tofauti kati ya wagombea wote wawili. wote ni wanamagamba wasiokuwa na faida kwa mwananchi masikini!
   
 16. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Ikulu kuna biashara gani jamani?? EL aogopwe kama UKOMA,au kama ARVs feki.
   
 17. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,182
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Yale yale baada ya kushindwa yanaibuka haya
  Kama angeshinda haya yasingeibuka na watu wangekula pesa na kukaa kimya
  ila kwa kuwa ameshindwa na kuna rushwa ilitumika watasema
  Umbuaneni tuu na ile taasisi ya kuendeleza na kurutubisha rushwa wala haitafanya lolote
   
 18. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Sasa kama kule SAITI watu hawamtaki Lowassa mbona wamemchagua mtu wa Lowassa huko SAITI???

  Haya ndo matatizo ya kutumwa useme kile ambacho hujui.
   
 19. p

  pilau JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .....siyo mwisho wa dunia... ni swala la kujipanga upya.... kama CCM wanamuhitaji watampa kwa njia nyingine kuteuliwa, kapu sijui sinia, .. nk
   
 20. Mtanzania1

  Mtanzania1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 17, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 1,169
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Kuna mtu humu ndani aliwahi kusema kuwa mchezo mchezo tu mara inakuwa kweli....sijui alikuwa na maana gani....
   
Loading...