Milioni 3.5 natafuta vitz piston 4

JZHOELO

Senior Member
Sep 20, 2011
196
350
Husika na kichwa cha habari, nipo Mwanza tafuta Vitz bei mwisho 3.5, itapungua kutokana na hali yake, iwe piston 4 na haina madeni, muuzaji awe mmiliki, ukiwa nayo nipm au weka namba ya simu nitakupigia, biashara ni straight foward sitaki maneno mengi sitojibu mtu zaidi ya mwenye mali kwenye hii post natanguliza shukran wakuu.
 
husika na kichwa cha habari, nipo Mwanza tafuta Vitz bei Mwisho 3.5, itapungua kutokana na hali yake, iwe piston 4 na haina madeni, muuzaji awe mmiliki, ukiwa nayo nipm au weka namba ya simu nitakupigia, biashara ni straight foward sitaki maneno mengi. Sitojibu mtu zaidi ya mwenye mali kwenye hii post. Natanguliza shukran wakuu.

ungekuwa na hela wewe tungekoma, mikwara miingi afu hela huna, absurd
 
Unavyoziona ndogo unadhani bei yake ni ndogo pia? Kwa bei hiyo tafuta GX 100 tena unaweza pata pungufu ila sio vitz
 
Utanunua matatizo katika gari na sio gari,mzee baba komaa uidabo(7M) hiyo pesa ndo ufikirie gari ni bora ukatumia 2018 yote kupata iyo hela kuliko kununua jipu la 3.5M
 
Mkuu hiyo hela unapata tena gari nzuri Tu ila tafuta gari mkoani sio Dar. Gari nyingi za mkoani bei nzuri kuliko Dar madalali kila kona
 
Pls kaka samahani hivi nini kilishusha thamani ya GX100?
GX 100 ni gari kali sana ila tatizo lake watu walizipakazia kuwa zinakula sana wese so wakaziharibia sokoni. Ila zile gari ziko vizuri sana haswa ukiipata nzima na hazina matatizo ya ovyo ovyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom