Milioni 2 hufa kila mwaka kwa ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milioni 2 hufa kila mwaka kwa ukimwi

Discussion in 'JF Doctor' started by MziziMkavu, Dec 15, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  IMEFAHAMIKA kuwa watu wapatao milioni mbili hufa kila mwaka kutokana na maradhi ya ukimwi nchini Tanzania imefahamika.

  Hayo yalifahamika siku ya kuadhimisha siku ya ukimwi duniani ambapo nchini Tanzania yaliadhimishwa mkoani Tanga kitaifa.


  Akitoa takwimu hiyo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema ugonjwa huo bado ni tatizo nchini na inateketeza nguvu ya taifa nchini.


  Hivyo amewataka wachukue tahadhari na kuzidi kuondoa maovu yanayosababishwa kuleta ugonjwa huo nchini ikiwemo kuondoa ngono zembe zisizo za lazima.

  Idadi hiyo kitaifa bado inaonekana baadhi ya watanzania bado hawachukui tahadhari dhidi ya ugonjwa huo.


  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3681518&&Cat=1
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  katika hhao milioni mbili hakuna hata mmoja memba wa jf? tunahitaji na statistic ya memba waathirika wa jf , tusje tukauvaa mkenge.
   
 3. m

  mungiki2 Member

  #3
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani HIV inaambukizwa kwa kujibu hoja au kutoa hoja hapa jamvini?Au nawe upo kati ya wale wanaotafuta wenza hapa jamvini na hawana uthubutu wa kupima
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ukitaka kuona hii mambo ni ngumu, utaona wangapi watachangia hii mada ya muhimu hivi!...we subiri, kama hii thread haijafa na michango< than 10!
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hapa greti thinka unaonekana umekasirika sana! acha nikuapolojaizi. sore greti thinka foo my veri schupid komenti.
   
 6. W

  Wasegesege Senior Member

  #6
  Dec 15, 2009
  Joined: Oct 22, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hizi ni takwimu za kupika. Haiwezekani 2mil watu wafe kila mwaka. Hebu piga hesabu, mwaka 2002 tulikuwa Mil 38 nasasa tunakaribia mil 40 halafu unasema tunakufa kila mwaka 2mil UONGO MTUPU
   
 7. M

  Matarese JF-Expert Member

  #7
  Dec 15, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Guys, something is very fishy with this figure. If its true that 2m people die each year, at the current birth rate of 3%, then almost surely the Tz population should have been exponentialy decreasing! Either something is wrong with this figure or the reporter misquoted it.
   
 8. Katibukata

  Katibukata Senior Member

  #8
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 27, 2007
  Messages: 183
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Huenda dat si sahihi. Lakini Ishu hapa ni kuona jinsi gani ngoma inatisha na inaua kweli. Yaani watu wanakufa kinoma... Millini !!! Kama hatutabadili tabia tutaendelea kuangamia tu!!! UKIMWI upo (100%).
   
 9. W

  Wasegesege Senior Member

  #9
  Dec 15, 2009
  Joined: Oct 22, 2009
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TAKWIMU HIZO NI ZA KUFUKIRIKA ZAIDI KULIKO KUSADIKIKA. WANATAKA KUPATA MIJIHELA TU HAWANA LOLOTE HAO. angalia ukuaji wa idadi ya watu Tanzania, halafu angalia mwaka 2002 tulikua mil38 na mwaka 2009 tunakadiliwa kuwa 40mil. hao watu 2mil wanaokufa kila mwaka inamaana wanaozaliwa ni wangapi kila mwaka. Tatizo la WATZA huwa tupika sana TAKWIMU. Ukitaka uone kichekesho. Nenda Mkoa wowote kaombe Takwimu zozote za Mkoa Mzima pale kwa Mkuu wa Mkoa, halafu nenda kila Wilaya kaombe Takwimu kwa DC, kisha nenda kwa Mkurugenzi. zijumuishe takwimu zote ulizopata Wilayani ili uone na zile ulizopata Mkoani. Utaona vichekesho sana. hata Takwimu atakazokupa DC zitatofautiana na Takwimu atakazokupa Mkurugenzi hiyo ni Ndani ya Wilaya hiyo hiyo.
   
Loading...