Milio Ya Mabomu Mbezi Beach Dsm, Kuna Nini?

MAHORO

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
7,585
2,568
... Nimesikia Milio Kwa Mda Mrefu Kuanzia Saa 7 Mchana, Sijui Kuna Nini, Mwenye Taarifa Jamani Atujuze, Mimi Naelekea Eneo La Tukio Nijionee, Nikipata Taarifa Nitawajuza.
 
... Nimesikia Milio Kwa Mda Mrefu Kuanzia Saa 7 Mchana, Sijui Kuna Nini, Mwenye Taarifa Jamani Atujuze, Mimi Naelekea Eneo La Tukio Nijionee, Nikipata Taarifa Nitawajuza.

una hatari sana yani unafata mabomu?
 
Ukabaki mtaa...

Teh teh teh.. Inabidi Manispaa zetu waangalie upya haya majina yenye utata na kuyabatiza upya.

Kama Ghana Avenue imebadilishwa jina hivi karibuni na kuitwa Hamburg Street itashindikana nini kubadili eneo la Tangi bovu kuwa Osaka au Michigan ??!!
 
hujatujuza mkuu mpaka saa hii kuna nini huko Mbezi Beach

Ni kutoka ktk uwanja wa Range wa JWTZ ambalo jana mchana walitumia mizinga ktk mafunzo yao. Umefika wakati Jeshi letu lihamishe hiyo Range kutokana na kuzungukwa na makazi ya watu na ukanda huu kujaa mahoteli ya kitalii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom