maatope JF-Expert Member Sep 19, 2013 1,424 957 Dec 14, 2014 #1 kuna mabomu na risasi yanasikika magomeni na cha kushangaza nasikia azana ya msikitini muda huu wa saa tano usiku kulikuwa na sherehe za cuf kusheherekea ushindi zimesitishwa ghafla.
kuna mabomu na risasi yanasikika magomeni na cha kushangaza nasikia azana ya msikitini muda huu wa saa tano usiku kulikuwa na sherehe za cuf kusheherekea ushindi zimesitishwa ghafla.
M mzalendo91 JF-Expert Member Sep 10, 2010 430 138 Dec 14, 2014 #3 Hapa saa hvi ninasikia sauti ya Mabomu pande za Kawe usiku huu
maatope JF-Expert Member Sep 19, 2013 1,424 957 Dec 14, 2014 Thread starter #4 DAKA MTUMBA said: Picha jembe langu!!!! Click to expand... kaka ..azana inapiga sasa hivi huoni ni hatari? nani atatoka ndani lakini chuki dhidi ya ccm ni kubwa sana jamani sijui wanalijua hilo?
DAKA MTUMBA said: Picha jembe langu!!!! Click to expand... kaka ..azana inapiga sasa hivi huoni ni hatari? nani atatoka ndani lakini chuki dhidi ya ccm ni kubwa sana jamani sijui wanalijua hilo?
S siriusblack JF-Expert Member Apr 30, 2013 209 286 Dec 14, 2014 #5 Na hapa tanki bovu kuna milipuko....not sure kama ni risasi au fataki...but they are a bit scary
Kibo10 JF-Expert Member Aug 20, 2013 11,277 8,840 Dec 14, 2014 #6 Policcm wamechanganyikiwa nasikia walitoa rushwa ya gari la wagonjwa na bado ukawa wakiwakilishwa na Cuf wakalamba kata
Policcm wamechanganyikiwa nasikia walitoa rushwa ya gari la wagonjwa na bado ukawa wakiwakilishwa na Cuf wakalamba kata
aikaruwa1983 JF-Expert Member May 6, 2011 1,398 1,499 Dec 14, 2014 #7 tabata kisukulu mabomu yalirindima ila kwa sasa yamepoa kitu kinarudiwa kuhesabiwa....
SaaMbovu JF-Expert Member Oct 8, 2013 6,027 5,342 Dec 14, 2014 #8 Huku mwananyamala ni full shwangwe kwa CUF