Milio ya kama ya Mabomu yarindima Magomeni, azana inapiga...

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
kuna mabomu na risasi yanasikika magomeni na cha kushangaza nasikia azana ya msikitini muda huu wa saa tano usiku

kulikuwa na sherehe za cuf kusheherekea ushindi zimesitishwa ghafla.
 
Na hapa tanki bovu kuna milipuko....not sure kama ni risasi au fataki...but they are a bit scary
 
Policcm wamechanganyikiwa nasikia walitoa rushwa ya gari la wagonjwa na bado ukawa wakiwakilishwa na Cuf wakalamba kata
 
tabata kisukulu mabomu yalirindima ila kwa sasa yamepoa kitu kinarudiwa kuhesabiwa....
 
Back
Top Bottom