Milio mbalimbali ya wanaume wanafikia mshindo hii hapa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Baada ya mwanasaikolojia mmoja huko Texas kuchunguza vile wanaume huwa na pozi gani pindi wanapofikia mshindo aligundua yafuatayo;
a) wapo waliolia kama ng'ombe wakati Wa kumaliza
b) wengine aligundua hu-vibrate
c) Wengine hurembuaa.
d) Wengine hujamba
e) Wengine hutoa ulimi
f). Wengine huunguruma kama paka
g) Wapo wanapiga mruzi
h) Wengine ni wanafumba macho kabisa
I) wengine hukandamiza na kung'ang'ania
J) kuna wengine ile tgo hupiga dabo hazard (yaani inaachia na kubana) kama vile wakati wa haja

Sipati picha huu utafiti ungefanyika bongo angepata majibu ya ajabu sana, Wanawake Mtuvumiliege tu huwa ni unconscious .
 
Aisee DUNIA imegeuka wanaume na wenyewe WANAANZA kunangwa hivi.yaani haya si majungu kabisa acheni kuchambua siri takatifu Kama hizo
 
Back
Top Bottom